Kenyans Wana shida..mbona wao lockdown haijawasaidia?..victims wengi kuliko TZ?
Halafu mbona hata China haikuweka lockdown nchi nzima?
Kulikuwa hakuna lockdown Beijing wala Shanghai..
Ujerumani hawana lockdown wamekufa elfu 4 Tu Hadi sasa wakati UK yenye lockdown zaidi ya elfu 15..
Lockdown sio only option
Niliemjibu alielewa ninachomaanisha ila wewe kwa uelewa finyu ulionao ukataka ufafanuzi...Hayupo aliesema lockdown ni only option, hata maombi ni option ndugu.
Lockdown bila a responsible citizenry haiwezi kufanikiwa kamwe, sawa na maombi bila imani ni total waste of valuable time!
So kabla hujapondea pata kuelewa reason behind.
Uliwakagua wanaoomba ukagundua hawana imani? Kama unayo imani pamoja na kujikinga kitaalamu kwanini usiombe pia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uelewa wako utakua na manufaa zaidi kule dampo!
Nawajibika kwa kile nilichokiongea sitowajibika na tafsiri yako.
Unaona utumbo ulioandika hapa? Yani wewe ukaelewa kinyume chake! Inaonyesha wazi you are not very bright!Hivyo Mimi nawajibika na umburula wako uandamizi sio?
Acha kupangia watu cha kuamini
Ndo maana nimekuambia uelewa wako ni wa dampo. Vitu vidogo mpaka ufafanuliwe!
Kwa mfano nikitukana mtu, utakamatwa wewe au mimi? mimi ndo ntawajibishwa.
Mimi nawajibika na kile ntakacho kisema, kama uelewa wako mdogo ukakupelekea kutafsiri tofauti mi ntawajibikaje na hiyo tafsiri yako?
Kupaza sauti au kusisitiza haifanyi ulichoongea kua point badala yake ni kelele.Haihusiani na mada we mburula uwe unaelewa.
Jadili upuuzi uloandika acha kubadili mada unadhihirisha kamasi ulizojaza tumboni na kichwani
Pitia pitia huo mtiririko utajifunza kitu.