OK, ila wakifanya hivi wengine, wanaonekana wehu

Kenyans Wana shida..mbona wao lockdown haijawasaidia?..victims wengi kuliko TZ?

Halafu mbona hata China haikuweka lockdown nchi nzima?

Kulikuwa hakuna lockdown Beijing wala Shanghai..

Ujerumani hawana lockdown wamekufa elfu 4 Tu Hadi sasa wakati UK yenye lockdown zaidi ya elfu 15..

Lockdown sio only option
Hayupo aliesema lockdown ni only option, hata maombi ni option ndugu.
Lockdown bila a responsible citizenry haiwezi kufanikiwa kamwe, sawa na maombi bila imani ni total waste of valuable time!
So kabla hujapondea pata kuelewa reason behind.
Niliemjibu alielewa ninachomaanisha ila wewe kwa uelewa finyu ulionao ukataka ufafanuzi...
Uliwakagua wanaoomba ukagundua hawana imani? Kama unayo imani pamoja na kujikinga kitaalamu kwanini usiombe pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uelewa wako utakua na manufaa zaidi kule dampo!
Nawajibika kwa kile nilichokiongea sitowajibika na tafsiri yako.

Hivyo Mimi nawajibika na umburula wako uandamizi sio?
Acha kupangia watu cha kuamini
Unaona utumbo ulioandika hapa? Yani wewe ukaelewa kinyume chake! Inaonyesha wazi you are not very bright!
Ndo maana nimekuambia uelewa wako ni wa dampo. Vitu vidogo mpaka ufafanuliwe!
Kwa mfano nikitukana mtu, utakamatwa wewe au mimi? mimi ndo ntawajibishwa.
Mimi nawajibika na kile ntakacho kisema, kama uelewa wako mdogo ukakupelekea kutafsiri tofauti mi ntawajibikaje na hiyo tafsiri yako?
Haihusiani na mada we mburula uwe unaelewa.
Jadili upuuzi uloandika acha kubadili mada unadhihirisha kamasi ulizojaza tumboni na kichwani
Kupaza sauti au kusisitiza haifanyi ulichoongea kua point badala yake ni kelele.
Pitia pitia huo mtiririko utajifunza kitu.
 
Niliemjibu alielewa ninachomaanisha ila wewe kwa uelewa finyu ulionao ukataka ufafanuzi...

Unaona utumbo ulioandika hapa? Yani wewe ukaelewa kinyume chake! Inaonyesha wazi you are not very bright!

Kupaza sauti au kusisitiza haifanyi ulichoongea kua point badala yake ni kelele.
Pitia pitia huo mtiririko utajifunza kitu.

Peleka upupu wako huko!
Unajifanya unajielewa kumbe hakuna unaloelewa
Sio maandishi yako hapo mwenyewe kuwa kuomba bila imani ni bure? Nimekuhoji toka hapo wewe wazijua imani za watu? Kwa umburula wako na kutojua unachoandika hujaona mantiki ya nilichokuuliza.
Usinipotezee muda kwa utopolo wako kakojoe ulale huko zero brain wewe
 
Unavo ng'ang'ania! Kweli pumbavu hajitambui! Yani aliejibiwa kaelewa bado unakomaa. Jishtukie basi! Ulichouliza hakiendani na nilichomjibu huyo niliemquote. Sasa kwanini nijipe shughuli kukuelewesha wakati ipo wazi processing prowess yako ni ndogo?
 
Nilichokuhoji nilitoa miongoni mwa sentensi zako au nilibuni?
Acha upumbavu na ujuaji mburula wewe!
 
Uliemjibu hajaendelea kukujibu kwa ujinga wako unajisifia amekuelewa, unadhani kila wakati, kila MTU ana nguvu za kushindana na asiejielewa?
 
Inahitaji ubongo size flani kuchanganua. Ubongo wako ni size ndogo yake. We utachoona ni sentensi, ila cha muhimu ni maana na ndo hapo ulipogonga mwamba

Jishtukie blaza!! Usianike upumbavu wako kwa style hiyo. watu hawafanani, na uelewa pia unatofautiana, wewe upo kundi la slow lena (learner) kwaiyo tambua vingine vitakupita tu. Niliemjibu ni fast lena, kaelewa chapu! na kama unabisha rudi kwenye hiyo comment #22, angalia like ni ya nani.
Maneno mengi hayakupi maarifa ndugu. Kua na mtazamo mpana, jifunze kuchambua maneno.
 
Unatia nguvu kubwa sana kuonyesha upumbavu wako humu, unatafuta cheo au umaarufu? Baki na umburula wako achana na mimi
 
Avriel sasa unaanza kuchekesha.... upumbavu wangu uko wapi? Wewe ulieingilia maongezi ambayo huna uwezo wa kuyaelewa ndo utakua mpumbavu, nadhani hilo halina ubushi by any normal standards!
Sijatumia nguvu hata kidogo, nguvu unatumia wewe ambae mpaka saivi hujaelewa maana ya sentensi ulioisoma alafu unataka kunilaumu mimi. Nishakwambia, siwajibiki na tafsiri yako!
Umaarufu unakujaje sasa? Is it kwamba pamoja na uelewa mdogo una infriority complex pia?!
Niachane na wewe kivipi?!! Hivi unajielewa kweli? Yani unarusharusha maneno tu! wakati wewe ndo ulikua wa kwanza kuniquote na umefanya hivyo subsequently? Angalia unavyojiaibisha!
 
Nikijibiwa kwa maneno kama haya nitapiga kimya kwa muda mrefu sana kwa kujiaibsha....
 
Niliemjibu alielewa ninachomaanisha ila wewe kwa uelewa finyu ulionao ukataka ufafanuzi...

Unaona utumbo ulioandika hapa? Yani wewe ukaelewa kinyume chake! Inaonyesha wazi you are not very bright!

Kupaza sauti au kusisitiza haifanyi ulichoongea kua point badala yake ni kelele.
Pitia pitia huo mtiririko utajifunza kitu.
leo infection inagonga 300+ pamoja na mass testing!
 
Ukisema "pamoja na mass testing" could it be unamaanisha mass testing ilitakiwa kupunguza maambukizi zaidi? To the contrary, mass testing inapelekea confirmed cases kuongezeka compared na kutokufanya mass testing. Benefit ya mass testing inakupa picha kamili ili kupanga mikakati na kuadjust hapa na pale kulingana na hali halisi.
Kufanya testing kwa wale wenye dalili tu sio effective coz wapo wagonjwa asymptomatic ambao hautowapima lakini watausambaza.
 
Heheehe!! Labda tukitaka isigonge 300+ tusifanye mass testing, tuzuge kwanza ili kujipa "good feeling" ya kubaki chini ya 300 kwa muda.
 
Avriel sasa unaanza kuchekesha.... upumbavu wangu uko wapi? Wewe ulieingilia maongezi ambayo huna uwezo wa kuyaelewa ndo utakua mpumbavu, nadhani hilo halina ubushi by any normal standards!
Sijatumia nguvu hata kidogo, nguvu unatumia wewe ambae mpaka saivi hujaelewa maana ya sentensi ulioisoma alafu unataka kunilaumu mimi. Nishakwambia, siwajibiki na tafsiri yako!
Umaarufu unakujaje sasa? Is it kwamba pamoja na uelewa mdogo una infriority complex pia?!
Niachane na wewe kivipi?!! Hivi unajielewa kweli? Yani unarusharusha maneno tu! wakati wewe ndo ulikua wa kwanza kuniquote na umefanya hivyo subsequently? Angalia unavyojiaibisha!
Umemaliza upuuzi wako?
Endelea kujikinga till further notice kilaza mwandamizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wazeee wa kujifukiziaaa kazi imeanzaaa...#barakoa ina koronaa🤣
2376611_IMG-20200422-WA0005.jpg
 
Back
Top Bottom