Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
The so called "WAPIGANAJI" wana sema kuwa CCM wote ni MAFISADI
je, huyu bwana mwenye uwanachama wa CCM tangu tarehe 18 Aprili,1977 na kadi Na. B124595, iliyotolewa na Tawi la Kisutu, Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam naye ni fisadi nambari ngapi?
huyu bwana naye hapa chini naye ni CCM
je naye ni FISADI namba ngapi maana wote hawa ni part the so called Chama cha Mafisadi...IF THATS THE CASE INAMAANA HAWA "wapiganaji" nao ni wanafiki au?
ni vigumu sana kujua mpiganaji wa kweli ni nani."wapiganaji" naona wapo wa namna hizi
a)wanao tumia mwamvuli wa "upiganaji" kuponda wengine
b)ambao hawataki kuonekana wapo kwenye kundi la mafisadi kwa hiyo bora wajiweke tu kwenye kundi la wapiganaji.
C)kuna wale wanao lipiza kisasi kwa wenzao
d)wapiganaji ambao wana tumia mwanya huo kuji nufaisha.
Siyo wote wanao jiita wapiganaji ni wapiganaji wa kweli. Kuna wengine ni wanafiki tu.
je inawezekana ikawa hawa wanaojiita wapiganaji nao ni part of wider strategy ya kuwafanya wananchi wajinga?
hayo yote ni matokeo ya kutokuwa na chuo cha kujifunza siasa, je mnakumbuka chuo cha siasa kivukoni ambacho kilikuwa kinamilikiwa na CCM? kwa kweli kile chuo kiliweza kutoa wanasiasa wakamilifu na wakomavu...! haya yanayotokea leo ni kuwa na wanasiasa wababaishaji ktk taifa letu ambao hawajui siasa ni nini..?

hao hao tu GT, hii wanayotumia ni defence mechanism yao na ndo wanatuzuga nayo....hawana loloteje inawezekana ikawa hawa wanaojiita wapiganaji nao ni part of wider strategy ya kuwafanya wananchi wajinga?
je inawezekana ikawa hawa wanaojiita wapiganaji nao ni part of wider strategy ya kuwafanya wananchi wajinga?
je inawezekana ikawa hawa wanaojiita wapiganaji nao ni part of wider strategy ya kuwafanya wananchi wajinga?
hayo yote ni matokeo ya kutokuwa na chuo cha kujifunza siasa, je mnakumbuka chuo cha siasa kivukoni ambacho kilikuwa kinamilikiwa na ccm? Kwa kweli kile chuo kiliweza kutoa wanasiasa wakamilifu na wakomavu...! Haya yanayotokea leo ni kuwa na wanasiasa wababaishaji ktk taifa letu ambao hawajui siasa ni nini..?