ok tukubali CCM ni mafisadi, swali

ok tukubali CCM ni mafisadi, swali

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
CCM.gif

The so called "WAPIGANAJI" wana sema kuwa CCM wote ni MAFISADI

je, huyu bwana mwenye uwanachama wa CCM tangu tarehe 18 Aprili,1977 na kadi Na. B124595, iliyotolewa na Tawi la Kisutu, Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam naye ni fisadi nambari ngapi?

mengi1.jpg

huyu bwana naye hapa chini naye ni CCM
mwakyembe.jpg

je naye ni FISADI namba ngapi maana wote hawa ni part the so called Chama cha Mafisadi...IF THATS THE CASE INAMAANA HAWA "wapiganaji" nao ni wanafiki au?
 
wanatofautiana kwa uzito na ukubwa wa tonge zao ,lakini wote walaji tu.
 
CCM.gif

The so called "WAPIGANAJI" wana sema kuwa CCM wote ni MAFISADI

je, huyu bwana mwenye uwanachama wa CCM tangu tarehe 18 Aprili,1977 na kadi Na. B124595, iliyotolewa na Tawi la Kisutu, Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam naye ni fisadi nambari ngapi?

mengi1.jpg

huyu bwana naye hapa chini naye ni CCM
mwakyembe.jpg

je naye ni FISADI namba ngapi maana wote hawa ni part the so called Chama cha Mafisadi...IF THATS THE CASE INAMAANA HAWA "wapiganaji" nao ni wanafiki au?

Yaa MWAMADIII.... SEMA!!!
 
Ni vigumu sana kujua mpiganaji wa kweli ni nani."Wapiganaji" naona wapo wa namna hizi
a)Wanao tumia mwamvuli wa "upiganaji" kuponda wengine
b)Ambao hawataki kuonekana wapo kwenye kundi la mafisadi kwa hiyo bora wajiweke tu kwenye kundi la wapiganaji.
c)Kuna wale wanao lipiza kisasi kwa wenzao
d)Wapiganaji ambao wana tumia mwanya huo kuji nufaisha.

Siyo wote wanao jiita wapiganaji ni wapiganaji wa kweli. Kuna wengine ni wanafiki tu.
 
ni vigumu sana kujua mpiganaji wa kweli ni nani."wapiganaji" naona wapo wa namna hizi
a)wanao tumia mwamvuli wa "upiganaji" kuponda wengine
b)ambao hawataki kuonekana wapo kwenye kundi la mafisadi kwa hiyo bora wajiweke tu kwenye kundi la wapiganaji.
C)kuna wale wanao lipiza kisasi kwa wenzao
d)wapiganaji ambao wana tumia mwanya huo kuji nufaisha.

Siyo wote wanao jiita wapiganaji ni wapiganaji wa kweli. Kuna wengine ni wanafiki tu.

well said.
 
GT,

From "All The Kings Men" "Man is conceived in sin and born in corruption, and he passeth from the stink of the dydie to the stench of the shroud,"

Nionyeshe mtu anayesema hana ufisadi na mimi nitakuonyesha muongo.

Huyo Mengi ana mikopo kibao kachikichia, kodi kibao ka-manouvre.

Huyo Mwakyembe kamburuza Lowassa bila kumpa haki ya kumsikiliza katika sakata ambalo imekuja kugundulika yeye mwenyewe ana issues za "conflict of interest" kati kwa miradi yake mwenyewe na kazi zake za tume ya bunge. Isitoshe kaficha some findings za tume kwa kuwatetea mafisadi kwa kigezo cha "kulinda heshima ya serikali", more like kubomoa heshima ya serikali na bunge.And this is just going with publicly available information.

Afadhali hata ungesema Mwakyusa kuliko Mwakyembe na Mengi.
 
je inawezekana ikawa hawa wanaojiita wapiganaji nao ni part of wider strategy ya kuwafanya wananchi wajinga?
 
hayo yote ni matokeo ya kutokuwa na chuo cha kujifunza siasa, je mnakumbuka chuo cha siasa kivukoni ambacho kilikuwa kinamilikiwa na CCM? kwa kweli kile chuo kiliweza kutoa wanasiasa wakamilifu na wakomavu...! haya yanayotokea leo ni kuwa na wanasiasa wababaishaji ktk taifa letu ambao hawajui siasa ni nini..?
 
waaje hao wanasiasa wakomovu nchi hii,

je hiyo zamani kulikuwa na vyama vingi?

viongozi wazee wa sasa ndio wameharibu nchi
 
hayo yote ni matokeo ya kutokuwa na chuo cha kujifunza siasa, je mnakumbuka chuo cha siasa kivukoni ambacho kilikuwa kinamilikiwa na CCM? kwa kweli kile chuo kiliweza kutoa wanasiasa wakamilifu na wakomavu...! haya yanayotokea leo ni kuwa na wanasiasa wababaishaji ktk taifa letu ambao hawajui siasa ni nini..?

Hawa wote walio kwenye uongozi wa CCM sasa hivi, akina Kikwete, Makamba, Chiligati na wengineo wamepitia hapo Kivukoni. Kingunge ambaye ni fisadi mkubwa na mtetezi mkuu wa mafisadi, alikuwa Mwalimu na ninahisi aliwahi kuwa mkuu wa chuo hicho.

Je, hao niliowataja, wamekomaa na wamekamilika? Wote unaowaita wababaishaji wamepitia Kivukoni na ndio maana mtu kama Kikwete alikuwa mpiga siasa Jeshini. Wanajeshi wote waliokuwa na vyeo vya PEO walipitia Kivukoni.
 
je inawezekana ikawa hawa wanaojiita wapiganaji nao ni part of wider strategy ya kuwafanya wananchi wajinga?
hao hao tu GT, hii wanayotumia ni defence mechanism yao na ndo wanatuzuga nayo....hawana lolote
 
SIASA na UONGOZI wa kisiasa unapogeuzwa kuwa MTAJI au KITEGA UCHUMI hakuna atakayekuwa MSAFI!
 
Everyone in our system is fisadi, lakini ni fisadi wa nini? Kuna watu wanaona ufisadi wao mdogo kwa sababu tu hakuna aliyewataja au kuwaanika hadharani, hata humu ndani ya jf ,mafisadi ni wengi na ni wengi sana. Kuna wengine wanashadidia hata mambo hawajui wala uhakika hawana, wala chembe ya kautafiti hawajafanya, then antuma kwenye jf.
Kwa ujumla wote walio kwenye system ni mafisadi si sitta, mwakyembe, selelii, sendeka, lowasa, rostam, manji, sophia simba, malecela (mr&mrs), n.k. Wote hao kila mmoja ni fisadi wa namna moja au nyingine. Hakuna fisadi mwekundu na kijani, fisadi ni fisadi tu, haijalishi. Anayeua mtoto ameua, na aneyeua mtu mashuhuri ameua, wote adhabu yao moja.
 
hayo yote ni matokeo ya kutokuwa na chuo cha kujifunza siasa, je mnakumbuka chuo cha siasa kivukoni ambacho kilikuwa kinamilikiwa na ccm? Kwa kweli kile chuo kiliweza kutoa wanasiasa wakamilifu na wakomavu...! Haya yanayotokea leo ni kuwa na wanasiasa wababaishaji ktk taifa letu ambao hawajui siasa ni nini..?

.....kwani wanaofanya ufisadi hawakuwepo wakati wa chuo hicho au ni damu changa ndio inafanya uchafu huo.?kwa sababu chuo kilikuwa cha ccm kiliweza kufundisha haya kinayoyafanya sasa.well done ccm.
 
Back
Top Bottom