Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
The so called "WAPIGANAJI" wana sema kuwa CCM wote ni MAFISADI
je, huyu bwana mwenye uwanachama wa CCM tangu tarehe 18 Aprili,1977 na kadi Na. B124595, iliyotolewa na Tawi la Kisutu, Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam naye ni fisadi nambari ngapi?
huyu bwana naye hapa chini naye ni CCM
je naye ni FISADI namba ngapi maana wote hawa ni part the so called Chama cha Mafisadi...IF THATS THE CASE INAMAANA HAWA "wapiganaji" nao ni wanafiki au?