Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Mlishindwa kupinga bunge mbovu ndo mtaweza kupinga miswada yake.Hili jambo halijakaa sawa katika angle zote, na limelenga sehemu nyeti ambayo inaweza kudhoofisha nchi yetu hasa Tanzania bara na kufungua ukurasa mpya wa ukoloni mambo leo.
Saini petition kwenye website ya change kupaza sauti dhidi ya uhalifu huu uliopangwa kutokea mbele ya macho yetu.
Wafuasi wa Marehemu poleni sana. Wakati lile shetani lenu la Chato linabaka uchaguzi na kutuwekea wabunge wa kumtawalisha milele si mlikuwa mnashangilia nyie!Hili jambo halijakaa sawa katika angle zote, na limelenga sehemu nyeti ambayo inaweza kudhoofisha nchi yetu hasa Tanzania bara na kufungua ukurasa mpya wa ukoloni mambo leo.
Saini petition kwenye website ya change kupaza sauti dhidi ya uhalifu huu uliopangwa kutokea mbele ya macho yetu.
Afadhali yule kuliko huyu anayetuuza huku anatuchekea.Wafuasi wa Marehemu poleni sana. Wakati lile shetani lenu la Chato linabaka uchaguzi na kutuwekea wabunge wa kumtawalisha milele si mlikuwa mnashangilia nyie!
Eti alikuwa Mzalendo. Sasa misukule yake njaa imewapanda vichwani ndo mnataka tushirikiane
Hili ni jambo la dharura mkuu, wakisaini tumepigwaLeteni petition ya Katiba Mpya ili tutibu ugonjwa sio kuutuliza.
Tunahitaji Katiba Mpya sasa kuliko ilivyokuwa juzi na jana.
Uko sahihi, tuko pamoja!Hili ni jambo la dharura mkuu, wakisaini tumepigwa
Hakuna afadhali wala nafuu, maana ndiye aliyetufikisha hapa.Afadhali yule kuliko huyu anayetuuza huku anatuchekea.
Such an evil woman.
Huyu wa sasa anapora kwa kalamu tena anakomba vyote bila hata huruma.Hakuna afadhali wala nafuu, maana ndiye aliyetufikisha hapa.
Tena mbali ya uuaji na wizi, pia alifanya ufisadi wa kufuru i.e. Mwendazake.
Nakubali nawe mkuu Stroke, kwamba huyu wa sasa naye ni mwizi.Huyu wa sasa anapora kwa kalamu tena anakomba vyote bila hata huruma.
Ni uovu uliopitiliza.
Walau hajauza vitega uchumi nyeti kama bandari kwa dola laki tanoHakuna afadhali wala nafuu, maana ndiye aliyetufikisha hapa.
Tena mbali ya uuaji na wizi, pia alifanya ufisadi wa kufuru i.e. Mwendazake.
Hujajua, jipe muda na utayari kupokea ukweli mchungu.Walau hajauza vitega uchumi nyeti kama bandari kwa dola laki tano
Hujajua, jipe muda na utayari kupokea ukweli mchungu.
Hawa wanaopiga sasa wanapita mle mle alikopita Magu. Stay tuned
Usipindishe maneno.Kumbe mkataba wa milele wa TPA na DPW ulisainiwa na Magufuli
Ok sasa nimejua ukweli ndugu