Okoa Tanzania Bara: Saini Petition ya kuzuia ubinafsishwaji wa bandari zote za Tanzania Bara

Okoa Tanzania Bara: Saini Petition ya kuzuia ubinafsishwaji wa bandari zote za Tanzania Bara

Two wrongs don't make a right
Kama Magufuli alifanya madudu,Samia akifanya madudu hatuezi sema poa tu mbona Magufuli alifanya
Unasema Samia kawekwa na Magufuli as if Samia hawezi fanya maamuzi kwa utashi wake.
Magufuli alishakufa,hayupo tena kwenye vyombo vya maamuzi vya nchi.
Saa hii Rais ni Samia na yakifanyika madudu ni yeye wa kulaumiwa,siyo Magufuli.
Usipindishe maneno.

Pia ujue akiiba Samia aliyewekwa na Magufuli na kupata ridhaa ya wabunge wa Magufuli, au akiiba Magufuli (kama alivyoiba) au CCM (kwao ni utamaduni) matokea ni yale yale kwetu kama Taifa = HASARA!
 
Wafuasi wa Marehemu poleni sana. Wakati lile shetani lenu la Chato linabaka uchaguzi na kutuwekea wabunge wa kumtawalisha milele si mlikuwa mnashangilia nyie!
Eti alikuwa Mzalendo. Sasa misukule yake njaa imewapanda vichwani ndo mnataka tushirikiane
Mbona una gubu alikuachia vichanga vingapi!!??
 
Hili jambo halijakaa sawa katika angle zote, na limelenga sehemu nyeti ambayo inaweza kudhoofisha nchi yetu hasa Tanzania bara na kufungua ukurasa mpya wa ukoloni mambo leo.
Saini petition kwenye website ya change kupaza sauti dhidi ya uhalifu huu uliopangwa kutokea mbele ya macho yetu.

Bandari ipi imebinafsishwa?
 
Back
Top Bottom