Two wrongs don't make a right
Kama Magufuli alifanya madudu,Samia akifanya madudu hatuezi sema poa tu mbona Magufuli alifanya
Unasema Samia kawekwa na Magufuli as if Samia hawezi fanya maamuzi kwa utashi wake.
Magufuli alishakufa,hayupo tena kwenye vyombo vya maamuzi vya nchi.
Saa hii Rais ni Samia na yakifanyika madudu ni yeye wa kulaumiwa,siyo Magufuli.

Usipindishe maneno.
Pia ujue akiiba Samia aliyewekwa na Magufuli na kupata ridhaa ya wabunge wa Magufuli, au akiiba Magufuli (kama alivyoiba) au CCM (kwao ni utamaduni) matokea ni yale yale kwetu kama Taifa = HASARA!