Mkuu unatoka relini. Hapa mada ni okrah. Alafu saido ni bonge la playerMchezaji mzuri na hakustahili kuachwa na Simba ila pia wachezaji wafupi nao kuna vitu wanashindwa kukupa. Mpira wa kisasa timu zinategemea sana set pieces na wachezaji wafupi wanakuwa hawana faida sana. Matokeo yake wachezaji kama Saidoo ili aonekane ana umuhimu, analazimisha apige kila kona na faulo wakati amedhihirisha siyo mpigaji mzuri wa mipira hiyo ukiacha penati.
lakini umri wake ni mkubwa,atafaa kweli?Mchezaji mzuri na hakustahili kuachwa na Simba ila pia wachezaji wafupi nao kuna vitu wanashindwa kukupa. Mpira wa kisasa timu zinategemea sana set pieces na wachezaji wafupi wanakuwa hawana faida sana. Matokeo yake wachezaji kama Saidoo ili aonekane ana umuhimu, analazimisha apige kila kona na faulo wakati amedhihirisha siyo mpigaji mzuri wa mipira hiyo ukiacha penati.
Vipi hawa hawakuhusika kwenye zile 5, siku ya Tar 5. Muache porojo.Yanga Wachezaji Wafupi ni Wengi...
Na Wameigharimu timu mara nyingi..
Kuna Moloko
Kibabage
Job
Nkane
Kibwana
Yao
Kwa Kifupi Kwa Wafupi Wale... Robo CL wataisikia Kwenye Bomba...!
Mbona wapo wengi TU waangalie wale raia wa america wanaocheza mamelodi ni vimo vifupi na nitegemeo hatari kwenye timuSijasema wachezaji wote wafupi hawafai. Kwa timu za level ya Simba, ukiwa mfupi inabidi uwe na kipaji cha hali ya juu sana na mchango wako uwanjani uwe juu sana kiasi kwamba ufupi wako unakuwa siyo ishu. Bila kwenda EPL, niambie mchezaji wa kimo cha Okrah anayechezea Al Ahly, Mamelodi au Wydad
Marcelo Allende wa Mamelodi ni mrefu?Sijasema wachezaji wote wafupi hawafai. Kwa timu za level ya Simba, ukiwa mfupi inabidi uwe na kipaji cha hali ya juu sana na mchango wako uwanjani uwe juu sana kiasi kwamba ufupi wako unakuwa siyo ishu. Bila kwenda EPL, niambie mchezaji wa kimo cha Okrah anayechezea Al Ahly, Mamelodi au Wydad
Jaribu kumuelewa Rage alowaita mbumbumbuMbona
Mbona wapo wengi TU waangalie wale raia wa america wanaocheza mamelodi ni vimo vifupi na nitegemeo hatari kwenye timu
Kuna vitu vinachekesha sana kama urefu ungekua unacheza Zalan wangekua Mabingwa wa AfricaLengo lipi?
Vipi mechi ya marudiano na hao Monastir kwa Mkapa, walipata goli ngapi au Yanga ilienda kukodi mabeki warefu? Au Monastir hawakupata kona hata moja au set pieces yeyote ile?
Hata kuwaringanisha ni dhambi.Usajili mzuri, ukilinganisha na mawinga waliopo, Okra amemuacha mbali sana Moloko!
Kipaji cha hali ya juu kama konde boy au sakho sio?Ndiyo maana nikasema "awe na kipaji cha hali ya juu sana na mchango wake uwanjani uwe juu sana kiasi kwamba ufupi unakuwa siyo ishu". Unadhani naweza kuwakataa wachezaji wafupi bila kuwakumbuka kina Messi, Maradona na wengine wachache kadhaa waliofanya makubwa?
SAWA mkuu nimemuelewa na nimempa maua take rageJaribu kumuelewa Rage alowaita mbumbumbu
Spain ilibeba WC ikiwa na Jordi Alba, Puyol, Iniesta, Xavi, Cazorl, Pedro n.k hawa wote kwa vimo sio wafupi tu, bali wafupi sana.Sijasema wachezaji wote wafupi hawafai. Kwa timu za level ya Simba, ukiwa mfupi inabidi uwe na kipaji cha hali ya juu sana na mchango wako uwanjani uwe juu sana kiasi kwamba ufupi wako unakuwa siyo ishu. Bila kwenda EPL, niambie mchezaji wa kimo cha Okrah anayechezea Al Ahly, Mamelodi au Wydad
Simba ilipigwa 4 na Kaizer, Al Ahly, AS vita n.k wote hawa walimchapa Simba tano tano, rudi katazame zile mechi, mengi ya magoli hayo yalifungwa kwa vichwa, katazame squad za Simba nyakati hizo kisha nambie hao warefu walikuwa na mchango gani kuzuia zile goli.Baada ya kuisaidia Simba , vipi ilifika malengo?
Mimi sijafurahishwa ujio wa kiburushuti Okrah kwenye klabu yangu ya Yanga.
Soka la kisasa linahitaji mchezaji mrefu.
Msimu uliopita US Monastir ya Tunisia ilitufunga bao mbili za haraka haraka kule kwao, na mabao yote ni kwasababu mabeki wetu ni wafupi.
Kwa sajili ya Okrah, Okrah wa kiwango kile ambacho tulimuona, Yanga imepata winga, naona mnara mwingine ukisimikwa kwenye derby ijayo 2024.Ila huyu mchezaji alikuwa ni hatari sana wakati anasajiliwa simba. Na kwa upande wangu nilikuwa namhofia sana wakati alipocheza kwenye ile michezo ya derby.
Naamini kama taarifa ni ya kweli, basi anaweza kuisaidia Yanga kwa upande wa pembeni. Maana ni aina ile ya viungo washambuliaji wachache wa pembeni wenye ujasiri wa kuwafuata mabeki. Muhimu tu asiwe majeruhi.
Na mimi nmemwambia jamaa Barca ilotamba kwa zaidi ya miaka 10 ilikuwa na wafupi wengi sana ukilinganisha na wapinzani wao.Basi umprove wrong rage kwa lile jina alilowapa,jamaa kadai wachezaji wafupi hawana faida,mimi nimemtolea mfano tu kwa messi mbu3 unakuja na hoja nyingine!kuna sehemu nimeitaja Yanga pale?
Kwa mamelod nilikataa kumjibu sababu inaonesha hakuna anachojua, Mamelod wafupi wamecheza pale wengi tu kwa miaka 5 ya hivi karibuni.Mbona
Mbona wapo wengi TU waangalie wale raia wa america wanaocheza mamelodi ni vimo vifupi na nitegemeo hatari kwenye timu
Konde Boy aliuzwa kiasi gani kwenda Al Ahly, timu namba moja Afrika ndiyo umlinganishe na Okrah? Sakho alichukua kiatu cha goli bora la CAF la msimu mzima. Nani hapo Deportivo de Utopolo amefikia mafanikio hayo toka kikundi chenu kianzishwe?Kipaji cha hali ya juu kama konde boy au sakho sio?
Msimu huko kwao kishafunga goli 9 na assist 2,okrah si mbaya kihivyoKwa sajili ya Okrah, Okrah wa kiwango kile ambacho tulimuona, Yanga imepata winga, naona mnara mwingine ukisimikwa kwenye derby ijayo 2024.
Okrah makolo mlimnunua kiasi gani?Konde Boy aliuzwa kiasi gani kwenda Al Ahly, timu namba moja Afrika ndiyo umlinganishe na Okrah? Sakho alichukua kiatu cha goli bora la CAF la msimu mzima. Nani hapo Deportivo de Utopolo amefikia mafanikio hayo toka kikundi chenu kianzishwe?
Baada ya kuisaidia Simba , vipi ilifika malengo?
Mimi sijafurahishwa ujio wa kiburushuti Okrah kwenye klabu yangu ya Yanga.
Soka la kisasa linahitaji mchezaji mrefu.
Msimu uliopita US Monastir ya Tunisia ilitufunga bao mbili za haraka haraka kule kwao, na mabao yote ni kwasababu mabeki wetu ni wafupi.
Kwa hiyo quality ya wachezaji wa Barcelona ndiyo mnalinganisha na kina Okrah na Kibabage ambaye hadi juzi tu alikuwa anasugua benchi katika timu ambayo haijaingia makundi kwenye kombe la Afrika toka 1998?Na mimi nmemwambia jamaa Barca ilotamba kwa zaidi ya miaka 10 ilikuwa na wafupi wengi sana ukilinganisha na wapinzani wao.
Kikosi cha kwanza cha Barca miaka hiyo kilikuwa na wafupi hawa.
Bek namba mbili DANI ALVES
Beki namba 3 JORD ALBA
Beki namba 5 CARLES PUYOL
Kiungo mshambuliaji ANDRES INIESTA
Kiungo mchezeshaji XAVI HERNANDEZ
Winga ya kulia PEDRO RODRIGUEZ
Mshambuliaji LIONEL MESSI
Huko nje sub kuna Alexis Sanchez, naye hakuwa mrefu.
Mrefu kwenye first elevwn alikuwa Pique, Sergio Busquets na David Villa.