BEFORE
JF-Expert Member
- Jun 11, 2023
- 372
- 598
Mkuu unatoka relini. Hapa mada ni okrah. Alafu saido ni bonge la playerMchezaji mzuri na hakustahili kuachwa na Simba ila pia wachezaji wafupi nao kuna vitu wanashindwa kukupa. Mpira wa kisasa timu zinategemea sana set pieces na wachezaji wafupi wanakuwa hawana faida sana. Matokeo yake wachezaji kama Saidoo ili aonekane ana umuhimu, analazimisha apige kila kona na faulo wakati amedhihirisha siyo mpigaji mzuri wa mipira hiyo ukiacha penati.