William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Umechambua kiufundi Sana Mkuu. Big up kwako.Hivi ingetokea Simba wamemrudisha Okrah watu mngetafsiri vipi kitendo hicho?
Failure au success?
Jamaa ni talented ila Ishu kubwa ni nidhamu, msimu kama huu wa Mapinduzi Cup ndio msimu ambao Dejane alitimka.
Na sababu kubwa ilikuwa ni ugomvi kati yake na Okrah ambapo Okrah alikuwa ndiye mkorofi, na Dejane alitaka kuona management inamchukulia hatua.
Lakini alipoona management inataka kumaliza hilo jambo kwa mazungumzo kwa kuwapatanisha ndio hapo Dejane akaona Club haina misimamo bora asepe.
Okrah ana tuhuma za ulevi kupitiliza na akilewa anakuwa mgomvi na hata kama umefuatiia kwenye pages zake hivi karibuni amekuwa akipost wazi wazi akiwa anakula tungi
Okrah alishawahi kumpiga refa hii level ya utukutu hata Morrison hajawahi kuifikia.
Akirudi Yanga atakutana na Mkude mlevi mwenzie ambaye ndio taita wa viwanja hapa mjini
Naamini Yanga imeona hayo yote na kujua namna ya kuweza kudili naye.
Ila binafsi siamini sana kwenye mabadiliko ya kitabia yatayo mfurahisha kocha pamoja na uongozi, labda kupunguza
Ghana hakuna pombe?Hivi ingetokea Simba wamemrudisha Okrah watu mngetafsiri vipi kitendo hicho?
Failure au success?
Jamaa ni talented ila Ishu kubwa ni nidhamu, msimu kama huu wa Mapinduzi Cup ndio msimu ambao Dejane alitimka.
Na sababu kubwa ilikuwa ni ugomvi kati yake na Okrah ambapo Okrah alikuwa ndiye mkorofi, na Dejane alitaka kuona management inamchukulia hatua.
Lakini alipoona management inataka kumaliza hilo jambo kwa mazungumzo kwa kuwapatanisha ndio hapo Dejane akaona Club haina misimamo bora asepe.
Okrah ana tuhuma za ulevi kupitiliza na akilewa anakuwa mgomvi na hata kama umefuatiia kwenye pages zake hivi karibuni amekuwa akipost wazi wazi akiwa anakula tungi
Okrah alishawahi kumpiga refa, hii level ya utukutu hata Morrison hajawahi kuifikia.
Akirudi Yanga atakutana na Mkude mlevi mwenzie ambaye ndio taita wa viwanja hapa mjini
Naamini Yanga imeona hayo yote na kujua namna ya kuweza kudili naye.
Ila binafsi siamini sana kwenye mabadiliko ya kitabia yatayo mfurahisha kocha pamoja na uongozi, labda kupunguza
Umejibu vizuri, labda pombe za Ghana hazileweshi kama za Dar, na huyo Mkude wamemtumia weee, badala waachane nae kwa amani bado wanampakazia mabaya kwa mwajiri wake mpya. Hawa Makolo bwana.Ghana hakuna pombe?
Mbona alienda kafanya vizuri tu
Hapo ukoloni mafigisu mengi hata Okwa alisema
Mkude amekaa Simba miaka 13 mnamwacha eti ana tabia ya ulevi
Hivi utakaa na mchezaji muda wote huo akiwa na tabia mbaya
Mbona Simba alimsajili Ntibazokiza pamoja na tuhuma za utoro kambini alipokuwa Yanga
Okwi alikuwa akienda Kampala anakaa miezi 3 bado anarudi kucheza Simba
Okrah ni mchezaji yeye anajali kazi yake sio shabiki ww mwache afanye kazi sehemu nyingine
Nje ya uwanja inaweza kuwa hivyo. Ila ndani ya uwanja sikuona kabisa mapungufu yake.Hivi ingetokea Simba wamemrudisha Okrah watu mngetafsiri vipi kitendo hicho?
Failure au success?
Jamaa ni talented ila Ishu kubwa ni nidhamu, msimu kama huu wa Mapinduzi Cup ndio msimu ambao Dejane alitimka.
Na sababu kubwa ilikuwa ni ugomvi kati yake na Okrah ambapo Okrah alikuwa ndiye mkorofi, na Dejane alitaka kuona management inamchukulia hatua.
Lakini alipoona management inataka kumaliza hilo jambo kwa mazungumzo kwa kuwapatanisha ndio hapo Dejane akaona Club haina misimamo bora asepe.
Okrah ana tuhuma za ulevi kupitiliza na akilewa anakuwa mgomvi na hata kama umefuatiia kwenye pages zake hivi karibuni amekuwa akipost wazi wazi akiwa anakula tungi
Okrah alishawahi kumpiga refa, hii level ya utukutu hata Morrison hajawahi kuifikia.
Akirudi Yanga atakutana na Mkude mlevi mwenzie ambaye ndio taita wa viwanja hapa mjini
Naamini Yanga imeona hayo yote na kujua namna ya kuweza kudili naye.
Ila binafsi siamini sana kwenye mabadiliko ya kitabia yatayo mfurahisha kocha pamoja na uongozi, labda kupunguza
Una uthibotisho wa tabia zake kaka. Au umekumbwa na Fitna za viongozi wanaotaka kulamba tu ela za usajili kila dirisha likifunguliwa.Umechambua kiufundi Sana Mkuu. Big up kwako.
Okrah ni mchezaji mzuri mwenye tabia mbaya. Ni kama Barton wa Newcastle au yule Bàloteli wa Man city.
Hata mm najiuliza kama Yanga wamepima maji na mafuta kulinganisha kiwango na mwenendo nje ya uwanja.
Kwani refa amlimpigia akiwa nchi gani?Ghana hakuna pombe?
Mbona alienda kafanya vizuri tu
Hapo ukoloni mafigisu mengi hata Okwa alisema
Mkude amekaa Simba miaka 13 mnamwacha eti ana tabia ya ulevi
Hivi utakaa na mchezaji muda wote huo akiwa na tabia mbaya
Mbona Simba alimsajili Ntibazokiza pamoja na tuhuma za utoro kambini alipokuwa Yanga
Okwi alikuwa akienda Kampala anakaa miezi 3 bado anarudi kucheza Simba
Okrah ni mchezaji yeye anajali kazi yake sio shabiki ww mwache afanye kazi sehemu nyingine
Tabia mbovu za mchezaji zitapimwa na mwajiri wake wa Sasa na sio wewe shabiki oya oya, ndio maana yanga ilimtema ntibanzokiza kwa nidhamu mbovu lakini kaja kwenu na alikuwa anaperfom vizuri kwanini amkumuacha kutokana na kuambiwa kuwa alikuwa mtovu wa nidhamu pale yanga?? Kwa maana iyo ni yanga wenyewe watakaothibitisha utovu wa nidhamu wa Okrah na sio kelele za mtu yeyote yule!Hivi ingetokea Simba wamemrudisha Okrah watu mngetafsiri vipi kitendo hicho?
Failure au success?
Jamaa ni talented ila Ishu kubwa ni nidhamu, msimu kama huu wa Mapinduzi Cup ndio msimu ambao Dejane alitimka.
Na sababu kubwa ilikuwa ni ugomvi kati yake na Okrah ambapo Okrah alikuwa ndiye mkorofi, na Dejane alitaka kuona management inamchukulia hatua.
Lakini alipoona management inataka kumaliza hilo jambo kwa mazungumzo kwa kuwapatanisha ndio hapo Dejane akaona Club haina misimamo bora asepe.
Okrah ana tuhuma za ulevi kupitiliza na akilewa anakuwa mgomvi na hata kama umefuatiia kwenye pages zake hivi karibuni amekuwa akipost wazi wazi akiwa anakula tungi
Okrah alishawahi kumpiga refa, hii level ya utukutu hata Morrison hajawahi kuifikia.
Akirudi Yanga atakutana na Mkude mlevi mwenzie ambaye ndio taita wa viwanja hapa mjini
Naamini Yanga imeona hayo yote na kujua namna ya kuweza kudili naye.
Ila binafsi siamini sana kwenye mabadiliko ya kitabia yatayo mfurahisha kocha pamoja na uongozi, labda kupunguza
Amecheza mechi ngapi mpaka sasa Mkude tangu asajiliwe na Yanga?Umejibu vizuri, labda pombe za Ghana hazileweshi kama za Dar, na huyo Mkude wamemtumia weee, badala waachane nae kwa amani bado wanampakazia mabaya kwa mwajiri wake mpya. Hawa Makolo bwana.
Kukosa nafasi ya kucheza sio eti kwa sababu ya utovu wa nidhamuAmecheza mechi ngapi mpaka sasa Mkude tangu asajiliwe na Yanga?
Na hizo mechi amecheza dakika ngapi?
Kwa hiyo ishu ya Mkude tunaiamua kuwa ni kipaji au nidhamu?
Kama ishu sio kipaji mbona hachezi? Na sometimes hata kwenye sub hapangwi, nini tatizo?
Inakuwaje mchezaji mwenye kipaji na nidhamu acheze mechi chache na katika hizo mechi chache anacheza kwa dakika chache?
Unaweza kuelezea hii kitu nikakuelewA?
Saido aliondoka kambini kwenye maandalizi ya derby na huku zikiwa zimebakia siku kadhaa ili mkataba wake uishe.Tabia mbovu za mchezaji zitapimwa na mwajiri wake wa Sasa na sio wewe shabiki oya oya, ndio maana yanga ilimtema ntibanzokiza kwa nidhamu mbovu lakini kaja kwenu na alikuwa anaperfom vizuri kwanini amkumuacha kutokana na kuambiwa kuwa alikuwa mtovu wa nidhamu pale yanga?? Kwa maana iyo ni yanga wenyewe watakaothibitisha utovu wa nidhamu wa Okrah na sio kelele za mtu yeyote yule!
Kwani aliletwa na nani?Kukosa nafasi ya kucheza sio eti kwa sababu ya utovu wa nidhamu
Coach hajapata nafasi ya kumpanga anajituma mazoezini nafasi ikipatikana atacheza
Kwani Gift Fred hachezi kisa ni mlevi
Ngushi mlevi
Wanasubiri benchi mastaaa kama Lewandoski
Amecheza mechi ngapi mpaka sasa Mkude tangu asajiliwe na Yanga?
Na hizo mechi amecheza dakika ngapi?
Kwa hiyo ishu ya Mkude tunaiamua kuwa ni kipaji au nidhamu?
Kama ishu sio kipaji mbona hachezi? Na sometimes hata kwenye sub hapangwi, nini tatizo?
Inakuwaje mchezaji mwenye kipaji na nidhamu acheze mechi chache na katika hizo mechi chache anacheza kwa dakika chache?
Unaweza kuelezea hii kitu nikakuelewA?
Tatizo nyie Simba Wanga sana, hapa tunazungumzia hizo kashfa mnazowatupia wakiondoka Simba. Na hapo tatizo wakija Yanga. Yanga hachezi kakutana na Maprofesa wa Mpira tofauti na alikotoka.Amecheza mechi ngapi mpaka sasa Mkude tangu asajiliwe na Yanga?
Na hizo mechi amecheza dakika ngapi?
Kwa hiyo ishu ya Mkude tunaiamua kuwa ni kipaji au nidhamu?
Kama ishu sio kipaji mbona hachezi? Na sometimes hata kwenye sub hapangwi, nini tatizo?
Inakuwaje mchezaji mwenye kipaji na nidhamu acheze mechi chache na katika hizo mechi chache anacheza kwa dakika chache?
Unaweza kuelezea hii kitu nikakuelewA?
Saido aliondoka kambini kwenye maandalizi ya derby na huku zikiwa zimebakia siku kadhaa ili mkataba wake uishe.
Na kwa mujibu wa Saido mwenyewe alikiri kweli aliondoka kambini (sababu haijaelezwa)
Ila kumbuka kuwa hakuondoka peke yake walikuwa wengi na mmoja wao na Mayele akiwemo.
Ila viongozi wakawachagua wachezaji wa kuwaadhibu wakihofia Mayele ni mtu muhimu kwenye derby hivyo mashabiki hawezi kuelewa iwapo ikatokea Yanga imefungwa na Mayele sio majeruhi na hajacheza kwasababu za nje ya uwanja.
Saido na Ambundo ndio waliokuwa mbuzi wa kafara lakini Mayele aliachwa.
Na sababu kuu ilikuwa ni hofu ya derby viongozi waliohofia kuwa Saido huwenda akawa ameihujumu timu.
Kama alikiri basi akuna Cha kujadili hapo ni kwamba aliachwa kwa utovu wa nidhamu ata Kama na mayele alikuwepo pengine mwenzake alifata utaratibu wa kuondoka kambini kwani viongozi ni wajinga awakuchunguza!Saido aliondoka kambini kwenye maandalizi ya derby na huku zikiwa zimebakia siku kadhaa ili mkataba wake uishe.
Na kwa mujibu wa Saido mwenyewe alikiri kweli aliondoka kambini (sababu haijaelezwa)
Ila kumbuka kuwa hakuondoka peke yake walikuwa wengi na mmoja wao na Mayele akiwemo.
Ila viongozi wakawachagua wachezaji wa kuwaadhibu wakihofia Mayele ni mtu muhimu kwenye derby hivyo mashabiki hawezi kuelewa iwapo ikatokea Yanga imefungwa na Mayele sio majeruhi na hajacheza kwasababu za nje ya uwanja.
Saido na Ambundo ndio waliokuwa mbuzi wa kafara lakini Mayele aliachwa.
Na sababu kuu ilikuwa ni hofu ya derby viongozi waliohofia kuwa Saido huwenda akawa ameihujumu timu.
Alikiri kuondoka kambini ila hakukubaliana na sababu iliyotolewa na ClubKama alikiri basi akuna Cha kujadili hapo ni kwamba aliachwa kwa utovu wa nidhamu ata Kama na mayele alikuwepo pengine mwenzake alifata utaratibu wa kuondoka kambini kwani viongozi ni wajinga awakuchunguza!
Hoja yako imeegemea kwenye hadithi za kusadikika, Hoja ya kusema mkude achezi sababu ya ulevi ni hoja dhaifu isipokuwa na mashiko, wachezaji wangapi awachezi pale yanga na wenyewe ni walevi?Amecheza mechi ngapi mpaka sasa Mkude tangu asajiliwe na Yanga?