Okra Magic ameondoka Simba akiwa wa Moto mno. Sema alipigwa Zengwe la Ulevi

Okra Magic ameondoka Simba akiwa wa Moto mno. Sema alipigwa Zengwe la Ulevi

Mkuu kwa kiwango cha Chama, Chama hawezi kwenda kucheza mpira Yanga. Yanga ni timu inayotumia nguvu na kasi ktk uchezaji wake, kitu ambacho Chama hakiwezi kwa namna yoyote ile. Mbaya zaidi nafasi yake kuna mafundi wawili, Azizi Ki na Pacome, ni mwehu tu ndo anayeweza kuthubutu kumpa namba Chama Yanga mbele ya hawa mafundi, hapa kumbuka Maxi hatumzungumzii.

Mashabiki wa Simba embu kuna mda kubalini na kile ambacho watu na taaluma nao wanachokifanya. Si chini ya makocha 3 au 4 wa kigeni wakionesha nia ya kutofurahishwa na uchezaji wa Chama, Chama amekuwa overrated na ninyi mashabiki ila kiuhalisia kwa wabobezi wa Soka wanamuona ni average player.
 
Wanasemaga eti Bocco ndio anawapiga ndumba wenzie..
Saido umri umeenda, sasa uchawi gani hapo kusema anarogwa? Yaani Boko awaroge wenzie halafu yeye asicheze mpira?
 
Hivi ingetokea Simba wamemrudisha Okrah watu mngetafsiri vipi kitendo hicho?

Failure au success?

Jamaa ni talented ila Ishu kubwa ni nidhamu, msimu kama huu wa Mapinduzi Cup ndio msimu ambao Dejane alitimka.

Na sababu kubwa ilikuwa ni ugomvi kati yake na Okrah ambapo Okrah alikuwa ndiye mkorofi, na Dejane alitaka kuona management inamchukulia hatua.

Lakini alipoona management inataka kumaliza hilo jambo kwa mazungumzo kwa kuwapatanisha ndio hapo Dejane akaona Club haina misimamo bora asepe.

Okrah ana tuhuma za ulevi kupitiliza na akilewa anakuwa mgomvi na hata kama umefuatiia kwenye pages zake hivi karibuni amekuwa akipost wazi wazi akiwa anakula tungi

Okrah alishawahi kumpiga refa, hii level ya utukutu hata Morrison hajawahi kuifikia.

Akirudi Yanga atakutana na Mkude mlevi mwenzie ambaye ndio taita wa viwanja hapa mjini

Naamini Yanga imeona hayo yote na kujua namna ya kuweza kudili naye.

Ila binafsi siamini sana kwenye mabadiliko ya kitabia yatayo mfurahisha kocha pamoja na uongozi, labda kupunguza
Leo mkuu umezungumza bila mahaba, kwa kweli mashabiki wa Yanga tutegemee yoyote yale kutoka kwa Okrah, kubadili tabia ni kitu kigumu saana.
 
Yanga siyo chuo cha upadri,uchungaji au ushehe hadi kupangia namna ya wafanyakazi wake matumizi ya hela yao acha kijana aje afurahie maokoto yake
 
Hoja yako imeegemea kwenye hadithi za kusadikika, Hoja ya kusema mkude achezi sababu ya ulevi ni hoja dhaifu isipokuwa na mashiko, wachezaji wangapi awachezi pale yanga na wenyewe ni walevi?
Nimekupa option zaidi ya mbili kuonesha kwanini Mkude hachezi

Lakini nimekuuliza swali nini sababu ya nyie kumsajili Mkude?

Mlimsajili huku mkijua ana kipaji na hivyo ataisaidia timu au mlimsajili kwa lengo la kuikomoa Simba?

Kama lengo lilikuwa ni uwezo wake, kwanini hachezi? Na akicheza ni dakika chache?

Unaweza kuniambia mchezaji gani mwenye uwezo mzuri ambaye anacheza mechi chache na kwenye hizo mechi ni dakika chache anazotumia, bila ya kuwa na matatizo yeyote ya kinidhamu nje ya uwanja?

Yani mchezaji awe fit, awe na nidhamu, awe na kipaji halafu ukawa unaona hata kwenye sub hayupo, unaweza kunitajia mkoja wa mfano?
 
Umejibu vizuri, labda pombe za Ghana hazileweshi kama za Dar, na huyo Mkude wamemtumia weee, badala waachane nae kwa amani bado wanampakazia mabaya kwa mwajiri wake mpya. Hawa Makolo bwana.
Mkude kuwa na tabia mbaya haijifichi hata kidogo. Timu zinavumilia vipaji na kifunika Tabia ya mchezaji ila ikizidi wanakuondoa. EL-Haji Diof alikuwa na kipaji kikubwa tangu AFCON mpaka kuvhukuliwa na Liverpool. Lakini alipozidisha ukorofi hawakumvumilia.
 
Una uthibotisho wa tabia zake kaka. Au umekumbwa na Fitna za viongozi wanaotaka kulamba tu ela za usajili kila dirisha likifunguliwa.
Je nini sababu za phiri kuchezea benchi mpaka washabiki kumshinikiza Robertinyo kumpanga na kuanza kutupia.
Naamini wachezaji wanatolewa mchezoni kwa manufaa ya wachache
Phiri kutocheza ni ili kumpisha Saidoo mwenye mkataba unaomnufaisha Jaribu Tena. Kuhusu tabia mbovu za Okrah akiwa Simba linajulikanà na hakusingiziwa sijui unataka uthibitisho gani. Ninachosisitiza ni kama Yanga wamepata mwarobaini wa Tabia zake basi kipaji chake kitawabeba. Lakini pia binadamu tunapokosea tunatakiwa kujirekebisha. Inawezekana amegundua madhaifu yake na kuyaacha.
 
Kwani refa amlimpigia akiwa nchi gani?

Kujali maslahi yake kunabidi kwende sambamba na matakwa ya muajiri wako.

Na kama umenisoma vizuri bila bias kichwani hakuna sehemu nimebeza uwezo wake.

Swala la Mkude lipo wazi yule alikuwa ni mlevi na maadili yalikuwa mabovu.

Haijalishi amekaa miaka mingapi Simba bado sio guarantee ya kusema hawezi kufanya utovu wa nidhamu.

Mbona wana ndoa wanafumaniana wakiwa wana cheat na ukiangalia wameishi miaka zaidi ya 20. Kwa hiyo tuseme kwasababu kwa miaka hiyo 20 hukuwahi kumsikia mkeo ame cheat basi hiyo itaondoa maana kuwa leo haja cheat?

Simba walivyokosea kwa Okwi kwa kuto muajibisha kwa tabia yake haina maana wafanye hivyo hivyo kwa wachezaji wengine eti kwasababu kuna mtu mwingine hakuwajibishwa.

Serikali kutomuajibisha waziri fisadi aliyeiba mabilioni ya pesa na kisha kujiuzulu na kuendelea kubaki huru, haikupi guarantee ya wewe kuiba kuku na kutaka usifungwe eti kwakua kuna mtu aliiba fedha nyingi kuliko thamani ya kuku na bado yupo uraiani.
Asomae na afahamu.
 
Kila mahali kunakua na siasa zake.

Kwenye michezo, dini, siasa, biashara n.k n.k.

Binadamu wana mambo mengi mno mahali popote penye kipato, hapajawahi kuwa na amani. Haijawahi tokea.
Umepiga kwenye mzinga.
 
Hivi ingetokea Simba wamemrudisha Okrah watu mngetafsiri vipi kitendo hicho?

Failure au success?

Jamaa ni talented ila Ishu kubwa ni nidhamu, msimu kama huu wa Mapinduzi Cup ndio msimu ambao Dejane alitimka.

Na sababu kubwa ilikuwa ni ugomvi kati yake na Okrah ambapo Okrah alikuwa ndiye mkorofi, na Dejane alitaka kuona management inamchukulia hatua.

Lakini alipoona management inataka kumaliza hilo jambo kwa mazungumzo kwa kuwapatanisha ndio hapo Dejane akaona Club haina misimamo bora asepe.

Okrah ana tuhuma za ulevi kupitiliza na akilewa anakuwa mgomvi na hata kama umefuatiia kwenye pages zake hivi karibuni amekuwa akipost wazi wazi akiwa anakula tungi

Okrah alishawahi kumpiga refa, hii level ya utukutu hata Morrison hajawahi kuifikia.

Akirudi Yanga atakutana na Mkude mlevi mwenzie ambaye ndio taita wa viwanja hapa mjini

Naamini Yanga imeona hayo yote na kujua namna ya kuweza kudili naye.

Ila binafsi siamini sana kwenye mabadiliko ya kitabia yatayo mfurahisha kocha pamoja na uongozi, labda kupunguza
Yanga bado inasumbuliwa na pengo la Mayele, huyu Okra ameonesha kiwango kizuri cha ufungaji nadhani target mojawapo ni kwenye Ligi ya mabingwa hizo mechi zinahitaji wafungaji.
 
Ndio hivyo. Safari ya Okra ni sawa na ya Peter Banda na Sasa Chama na Phiri. Wakiwa katika ubora wa juu kabisa wananyimwa namba kwa fitna. Okra kaenda Ghana katupia goli tisa Tayari. Kwanini Yanga wasimchukue.

Okra akiwa Simba Aliifunga yanga. Akafunga de Agost magoli muhimu kabisa. Kafunga sana tatizo ubinafsi.
Baada ya Okra natamani kumuona Banda na Phiri na Chama Yanga au Azam.

Sasa wanawapiga zengwe viwango vishuke halafu waseme wamechoka wawateme.

Simba wakiendelea na ujinga wao mwakani hata club bingwa Africa hawatacheza.
Tatizo ni menejimenti ya mchongo tu.
Hata Morrison alikuwa na tabia mbovu zaidi akiwa Simba tu,ila alivyoenda yanga alidhibitiwa.Huyo Mkude tumekaa naye muda wote sasa ndio tunajua alikuwa mlevi? Huko yanga hakuna pombe?
 
Saido aliondoka kambini kwenye maandalizi ya derby na huku zikiwa zimebakia siku kadhaa ili mkataba wake uishe.

Na kwa mujibu wa Saido mwenyewe alikiri kweli aliondoka kambini (sababu haijaelezwa)

Ila kumbuka kuwa hakuondoka peke yake walikuwa wengi na mmoja wao na Mayele akiwemo.

Ila viongozi wakawachagua wachezaji wa kuwaadhibu wakihofia Mayele ni mtu muhimu kwenye derby hivyo mashabiki hawezi kuelewa iwapo ikatokea Yanga imefungwa na Mayele sio majeruhi na hajacheza kwasababu za nje ya uwanja.

Saido na Ambundo ndio waliokuwa mbuzi wa kafara lakini Mayele aliachwa.

Na sababu kuu ilikuwa ni hofu ya derby viongozi waliohofia kuwa Saido huwenda akawa ameihujumu timu.
Saido alikuwa na utovu mwingi wa nidhamu, achana na hata hayo ya kambini, kuna wakati alifunga goli afu anatoka uwanjani hata bila ya maelekezo ya kocha.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Ndio hivyo. Safari ya Okra ni sawa na ya Peter Banda na Sasa Chama na Phiri. Wakiwa katika ubora wa juu kabisa wananyimwa namba kwa fitna. Okra kaenda Ghana katupia goli tisa Tayari. Kwanini Yanga wasimchukue.

Okra akiwa Simba Aliifunga yanga. Akafunga de Agost magoli muhimu kabisa. Kafunga sana tatizo ubinafsi.
Baada ya Okra natamani kumuona Banda na Phiri na Chama Yanga au Azam.

Sasa wanawapiga zengwe viwango vishuke halafu waseme wamechoka wawateme.

Simba wakiendelea na ujinga wao mwakani hata club bingwa Africa hawatacheza.
Okra ni chambo cha kumleta yule mshambuliaji wa medeama.
 
Alikiri kuondoka kambini ila hakukubaliana na sababu iliyotolewa na Club

Kipindi cha mechi ya Derby ilikuwa ni mwezi wa ramadhani naweza kusema Saido ndio mchezaji aliyekuwa ameshika dini kuliko wengine pale Yanga.

Swala la Derby kwenye kambi lilikuwa na maandalizi mengi ya nje ya uwanja ambapo katika miiko ya dini yake aliona ni dhambi hususani kwenye Season ya mfungo.

Aliondoka kwasababu hizo.

Na ndio maana hakukutwa Club kama walivyokutwa kina Mayele, Ambundo na wengineo.
Hapo juu umesema aliondoka kambini ila hakutoa sababu za kufanya hivyo, sasa hii sababu umeitoa wapi?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Wala sio bo
Wanasemaga eti Bocco ndio anawapiga ndumba wenzie..
[/QUOTE

Sio boko bana. Banda alikuwa hapangwi kabisa. Na kila akiingia anaonesha uwezo. Uwezo wa banda ni mkubwa mara nne ya msonda aumzize
 
Amecheza mechi ngapi mpaka sasa Mkude tangu asajiliwe na Yanga?

Na hizo mechi amecheza dakika ngapi?

Kwa hiyo ishu ya Mkude tunaiamua kuwa ni kipaji au nidhamu?

Kama ishu sio kipaji mbona hachezi? Na sometimes hata kwenye sub hapangwi, nini tatizo?

Inakuwaje mchezaji mwenye kipaji na nidhamu acheze mechi chache na katika hizo mechi chache anacheza kwa dakika chache?

Unaweza kuelezea hii kitu nikakuelewA?
Mfumo wa kocha sasa ni kuwa na strong first 11. Sio wachezaji wawili kila namba. Hivyo mfumo haumpi nafasi sio mkude tu. Ata akina Musonda, Kibwana, Nkane na wengi tu.
 
Kwani mkude simba
Tatizo nyie Simba Wanga sana, hapa tunazungumzia hizo kashfa mnazowatupia wakiondoka Simba. Na hapo tatizo wakija Yanga. Yanga hachezi kakutana na Maprofesa wa Mpira tofauti na alikotoka.
Kwan mkude simba alikuwa anacheza?..
 
Mkude kuwa na tabia mbaya haijifichi hata kidogo. Timu zinavumilia vipaji na kifunika Tabia ya mchezaji ila ikizidi wanakuondoa. EL-Haji Diof alikuwa na kipaji kikubwa tangu AFCON mpaka kuvhukuliwa na Liverpool. Lakini alipozidisha ukorofi hawakumvumilia.
Huo mfano wa DIOF wala sio sahihi,
Kwani mkude simba
Kwan mkude simba alikuwa anacheza?..
Alikuwa analewa
 
Mfumo wa kocha sasa ni kuwa na strong first 11. Sio wachezaji wawili kila namba. Hivyo mfumo haumpi nafasi sio mkude tu. Ata akina Musonda, Kibwana, Nkane na wengi tu.
Maana yake hapo lazima tukubaliane kuwa Mkude hana uwezo wa kuwa beat hao 11 ili awe miongoni mwa strong 11

Na ndio maana linapokuja swala la ubora katika namba yake, yeye hapati nafasi
 
Saido aliondoka kambini kwenye maandalizi ya derby na huku zikiwa zimebakia siku kadhaa ili mkataba wake uishe.

Na kwa mujibu wa Saido mwenyewe alikiri kweli aliondoka kambini (sababu haijaelezwa)

Ila kumbuka kuwa hakuondoka peke yake walikuwa wengi na mmoja wao na Mayele akiwemo.

Ila viongozi wakawachagua wachezaji wa kuwaadhibu wakihofia Mayele ni mtu muhimu kwenye derby hivyo mashabiki hawezi kuelewa iwapo ikatokea Yanga imefungwa na Mayele sio majeruhi na hajacheza kwasababu za nje ya uwanja.

Saido na Ambundo ndio waliokuwa mbuzi wa kafara lakini Mayele aliachwa.

Na sababu kuu ilikuwa ni hofu ya derby viongozi waliohofia kuwa Saido huwenda akawa ameihujumu timu.
Acha kutunga maneno fala we, lini Mayele alitoroka kambi. KmlaMMko
 
Back
Top Bottom