Okrah Magic you let us down today

Dropped us down? [emoji23][emoji23] unaifikiria Kiswahili una andika English lazima kiumane
 
πŸ˜…πŸ˜…

Hivi vigezo vyakuwa PLATINUM member ni zipi??.
Ni pesa mkuu, IQ haiusiki, hata wewe ukitaka wasiliana na uongozi unarusha mpunga wanakupa beji ya Platinum.

Mjinga yeyote anaweza kuwa Platinum member akikidhi kigezo cha mbumba tu na wala so ya kutisha.
 
Actually Simba played a very well good game today.

But n a football there is something called Lucky.

Simba SC missed a lot of chance due to lucky.
In turn they got 2 shots on target.[emoji1][emoji1]
Ukiwa na akili timamu utajua kwamba Yanga ndio walitakiwa kushinda hiyo ni kwa mujibu wa mtazamo wa kikocha.
 
Ni pesa mkuu, IQ haiusiki, hata wewe ukitaka wasiliana na uongozi unarusha mpunga wanakupa beji ya Platinum.

Mjinga yeyote anaweza kuwa Platinum member akikidhi kigezo cha mbumba tu na wala so ya kutisha.
Hakiki asee!! Kwa uchafu huu amewadhalilisha hata waliyompa hadhi ya Platinum member πŸ˜…. Nmeona aibu Mimi asee.
 
Hiki Kiingereza kimekata kona kama zile ngumi za Mandonga.
 
Okrah has a lot of things to learn from our beloved player miqqueson. He is a selfish player thuswhy he enterd in a quarrel with mzungu....


Walimu nimekosea wapi hapo?
 
Starting with okrah and pape sakho was a big mistake today because both players they don't defend and help others when the team doesn't possess the ball that why mgunda made tactical substitution by introducing kibu Denis in other side okrah played well today I think he failed to cope with the temper of the match in other occasions was supposed to pass the ball to other simba players and the story would be different today.
 
Acha ujinga kwani lugha yake ya asili hii? Mbona mzungu akiongea kiswahili kibovu unakenua meno ati ona amejitahidi! Tuache kukatishana tamaa.
Kwani nani kamtuma ajititumue na Kiingereza ? aandike lugha anayoiweza vizuri.
 
Reactions: 911
Acha ujinga kwani lugha yake ya asili hii? Mbona mzungu akiongea kiswahili kibovu unakenua meno ati ona amejitahidi! Tuache kukatishana tamaa.
Hii sababu wengi sana wanapenda kuitumia...na kwa juu juu inaonekana ina mashiko...ila kiukweli ni chaka tu la kuficha madhaifu yetu.Mfumo wetu wa elimu hapa nchini tunakutana na kiingereza kuanzia darasa la tatu huko....sasa sijui hao wazungu+wachina huwa wanakutana na kiswahili wapi.
Mgogo akiongea kingoni kibovu hatutamshangaa...ila mgogo aliyepita madarasa kadhaa akipuyanga kwenye 'kiinglish'...tutamkumbusha 😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…