Okrah Magic you let us down today

Okrah Magic you let us down today

Shida sio mgunda ni matola. Mimi nilivyomuona mkude nikajua Simba wameamua kuitupa hii mechi.
aaah kuna mwanangu hamuaminii Matola hata kidogo

Yani mechi kabla haijaanza alipomuona tu yuko bench akasema hapa hamna kitu
 
Baada ya kuandika Kiingereza ambacho haieleweki mleta mada katelekeza uzi. Hawa ndio Rage alikuwa anawasema wamejaa kwenye club.
Ras Simba aje huku kuna mteja wake.
Come again please topolo. I can understand only two words ... Rage and club.
 
Wewe taarifa zako tunazo kuwa Bwana Mkubwa wa Chadema anakupasua kitobo 😅.
Ndio umlete alokuzaa sasa atakwambia kama nina kitobo au jinsi alivyosuguliwa kipochi. Imagine kipochi kilichokuzaa kinasuguliwa
 
Mmefika hadi huku?

Na bado hampendi tukiwaambia ukweli kuwa mechi ya Derby ndio kitovu cha malengo yenu kama Club

Haya kesho itakuwa ya 1,346
Jamaa wanahesabu mpaka siku. Ama kweli malengo yanafanyiwa analysis
 
There's many, many times where you could pick out a good pass, deliver a good cross, and you went for a shot yourself.

😅😅😅😅 Platinum member
 
Unafikiri huyu ni mtotot wa chekechea au secondary school?

Pole sana.

This's how a pundit analyses events in a match.

Keep it up!
Umemcheka mwenzako kuhusu kiingereza chake. Ni grammar gani inaruhusu neno analyses kufuatana na neno events katika hali ya wingi (plural forms). Kubali tu kuwa watu hujifunza kila siku.
 
In turn they got 2 shots on target.[emoji1][emoji1]
Ukiwa na akili timamu utajua kwamba Yanga ndio walitakiwa kushinda hiyo ni kwa mujibu wa mtazamo wa kikocha.View attachment 2395822
Huo mshale wako ume point asilimia za possesion ambazo mlizidiwa

Shots on target inaweza ikapigwa hata na Diarra kwenye mpira wake kwa kuanzisha

Tunaangalia mashambulizi ya hatari yaliyofa ywa kwenye lango la mpinzani

Hizi shots on target ni kazi bure kwasababu butua butua ndio formula yenu siku zote.

Angalia hata lile shuti la Feisal halikuwa na hatari yeyote, Azizi Ki kapiga kama yale matatu lakini hakuna chochote kimesaidia zaidi ya ile freekick yake.
 
Ndio umlete alokuzaa sasa atakwambia kama nina kitobo au jinsi alivyosuguliwa kipochi. Imagine kipochi kilichokuzaa kinasuguliwa
Tunajua na nasikia saizi ushahamia kwa Bawacha mmoja anakupasua??. Au nikutajia na location unayopsuliwaga hilo tobo?
 
today presedent watch hundred dose not congulatulate any Kariakoo clubs so far!.
[emoji115]
yai la mbuni.
 
Hebu kashangilie lede huko, kama hujui hata maana Jambo dogo km hili unatafuta nini kwenye mpira wa 🦵?
Mnanang'ang'ana na shot on target si mngefunga sasa hazikua na maana kwenu na hazikua na madhara kwa mpinzani. Andika vzr sio lede ni rede. Halafu nani kakwambia sijui hebu soma vzr nilichoandika.
 
Acha ujinga kwani lugha yake ya asili hii? Mbona mzungu akiongea kiswahili kibovu unakenua meno ati ona amejitahidi! Tuache kukatishana tamaa.
Mwafrika ni mtu anayemshangaa mwenzake akishindwa kuongea kwenye lugha ambayo si ya kwake
 
Back
Top Bottom