PostGE2025 Oktoba 29, 2025 ilivyonibadilisha

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ila waliochochea watu kutoka nankufanya uharibifu wao ni miungu kwako na wamefanikiwa kuondoa akili yako wakakujaza MAVI kichwani.

Wapigania haki wanataka kuua🤣
Majuzi hapa tumeona maandamano yaliyokuwa na ghasia nyingi tu huko kwenye nchi za Ulaya.

Tena ghasia zilizosababisha hasara kubwa tu.

Watu wangapi waliuliwa na polisi wa huko?

Mssengee wewe.
 
Atakayelipa ni Mungu natumaini kuna wengine wameshaanza kulipa au kulipishwa huko waliko
 
Muda kama huu mwaka jana baadhi yetu tulikata tamaa na kusema "leo maandamano hakuna"
Kilichofata ni furaha iliyomaliziwa na huzuni.
Na chanzo cha watu kujitokeza kuandamana ni ile clip ya video iliyo sambaa ikiwaonesha kundi la wanajedhi wakiwa na kakikudi ka watu wakishangilia watu wakaamini kabisa kuwa jeshi limeasi uoga ukawatoka kumbe ulikuwa ni mtego wa kifo ila hizi siasa.
 
Ndugu Nyani Ngabu , amini tu kuwa haupo peke yako kwenye hili.
Mwenyekiti mstaafu wa CCM wa Mkoa (shemeji yangu) aliniambia kuwa amefanya maovu mengi kama mCCM lakini hakuwahi kufikiri kama itakuja kutokea kile kilichotokea mwaka jana kuanzia Oktoba 29.

Mwenyekiti huyo mstaafu ameendelea kwa kukiri kuwa anatamani kutoka CCM, lakini anaogopa maana CCM + GoT wanajua "nyayo" zake mpaka kufika hapo, hivyo anabaki CCM kinafiki kulinda "ugali wake"!
 
never forgive ,never forget
 
Bila hawa mabaradhuli(samia wa kizimkazi na washirika wake) walioleta vilio kwa maelfu ya wananchi kuumia, hili taifa HALITATULIA achilia mbali kupiga hatua yoyote ya maana ya maendeleo.

Damu isiyo na hatia huwa inapaza sana sauti kwa mwenye hatimiliki (Mungu mwenyewe) ikitaka haki itendeke. Na hii ndio maana halisi ya amri ya USIUE yaani usimwage damu ya mwanadamu mwezako isiyo na hatia kwa kuwa umetangaza vita na mwenye hatimiliki nayo.

Sioni mwisho mwema kwa mabaradhuli hata kidogo. Hii haitaisha mpaka iishe.
 
Tutalipa kisasi iwe kwa bunduki au mapanga!!!., mtoto wa mjomba wangu miaka 12 ametumwa vitu dukani akauwawa kikatili pale ccm katoro!.
Naichukia ccm na wafuasi wake....
 
CC,M mnafanaya nn ili kupoza hasira hii?,je mnafikiri ni huyu pekee anayefikiria hivi?
 
Kuna wakati natamani niwafikie watoto wake niwaachie hata alama ya kisu au bisibisi shingoni.

Lakini najua haiwezekani ni ngumu kuwafikia wanalindwa mno,kwaa hasira nilizonanzo kwa kumpoteza mtu wangu wa muhimu ipo siku hata wajukuu tutawafikia ili moyo upate relief.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…