PostGE2025 Oktoba 29, 2025 ilivyonibadilisha

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
USIUE. Hii ni Amri toka kwa MUNGU, so bora kuomba hiyo roho ya kuua ikuobdoke mengine Mungu atafanya kwa nafasi yake
 
Usilipe kisasi, mambo mengine mwachie Mungu tu, utamuua mwana ccm na utagundua waliofanya hayo matukio ni watu wengine tu ambao wapo ngazi za juu na zenye ulinzi mkubwa,
Mtu wa ngazi ya juu anaweza kuchukua bunduki na kufanya ukatili kama ule?
 
October 29 ilinifanya nitafakari juu ya makundi yanayoitwa waasi.

Nikagundua walibandikwa jina na tawala dhalimu ili kuwahalalisha tawala zao.

Niligundua waasi wengi huibuka haki ikikosekana hivyo kupigania haki si kosa bali ni jambo jema.

Hivyo asilimia kubwa ya makundi yanayoitwa waasi sio waasi kweli bali wameamua kupigania haki nje ya mfumo rasmi baada ya kuikosa katika mfumo rasmi ikiwemo majadiliano.

Kisasi tu ndio kitaweza kuiwajibisha hii haramu ya 98 % maana wamefika ukomo wa utu na fikra .

Sitoshangaa miezi 36 ijayo vikundi hivi vikiibuka Tanzania maana Tanzania njema ilipotea rasmi October 29.

Wapumzike kwa amani wote waliouwawa ili majizi , mafisadi yajitwalie madaraka.
 
Kuwa makini kabla hatujakuwahi!
 
Nakutakia heri natamani uyaue haya makitu mawili.
Tlaatlaah
Lucas Mwashambwa
 
Hunishindi mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…