Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Mkoa wa Ruvuma ndo mkoa ambao Samia, Abdul, Rostam na CCM wanachimba madini ya makaa ya mawe kila siku na kuuza nje ya nchi kwa masaa 24. Hata hivyo ndo moja ya mikoa masikini zaidi Tanzania. Wananchi wa mkoa huu wana umasikini usioelezeka.
Mikoa ya Geita, Katavi, Songwe na Singida ndo mikoa ambayo mafisadi wa CCM wamewaingiza wachina wanachimba dhahabu za kufa mtu na kuziuza nje ya nchi huku Watanzania wengi wa mikoa hiyo wakiwa na umasikini wa kutisha.
Nategemea mikoa hii ndo itaongoza vuguvugu la kuwaondoa CCM madarakani hiyo Oktoba 29 huku mikoa kisheti kama Dar, Arusha, Mbeya, Mwanza na Mtwara ikimaliza kazi.
Mungu tubariki Wananchi.