Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Nasikia watu wanatafutana lakini hawaonani barabarani, imekuwaje?π
Mm nilijua tu ...hawa keyboard warriors wakishashiba chai na vitumbua wanasumbua sana!Daah, naamka na nakuta ni kweli hakujawa na nywiii nywiiii wala nywii nywiii nywiiii πππ
View attachment 3495499
Kuna mtu nilimwambia jana kanibishia, kiko wapi sasa πππMm nilijua tu ...hawa keyboard warriors wakishashiba chai na vitumbua wanasumbua sana!
Watu wanapeana raha tu, siyo shida zao!DAR imepoa sana sikutegemea! Watu wapo wanatombana tu makwao
Nakwambia leo mimba zinatungika hatari!πKuna mtu nilimwambia jana kanibishia, kiko wapi sasa πππ
Watu wanapeana raha tu, siyo shida zao!
Wengine wataenda kupeleka mioto kwa hasira za kusalitiwa ila wengine toka kumekucha washapeana cha asubuhi, wapo wamekumbatiana wanasubiri round 2 na 3 π πNakwambia leo mimba zinatungika hatari!π
Na wewe ulipanga kutoka lakini umeshindwa nini?Naomba nisiongee sana maana nasikia kaaya yuko doria
OuyeeeahWengine wataenda kupeleka mioto kwa hasira za kusalitiwa ila wengine toka kumekucha washapeana cha asubuhi, wapo wamekumbatiana wanasubiri round 2 na 3 π π
Mimi pumbu zangu zina mushikeli kidogo niliomba ruhusa kwa mwenyekitiNa wewe ulipanga kutoka lakini umeshindwa nini?
Mie kimeniamsha asubuhi, hapa najisikia mwepesi.Ouyeeeah
Mm cha asubuhi tayari
Pole sana, p*mbu zimekuwaje tena kijukuu chetu π ?Mimi pumbu zangu zina mushikeli kidogo niliomba ruhusa kwa mwenyekiti
Nilipiga spray uko nilikua na ahadi ya kunywa mpubu matokeo yake zimechunika matokeo mtu mzima natembea km nimetoka jando ma ma ePole sana, p*mbu zimekuwaje tena kijukuu chetu π ?
Asante mamie πPole kwa changamoto hiyo
π― safi sana1. Nitatoka baada ya lunch, nipigie kura halafu nikapate kitu baridi na mishangazi wenzangu.
Acha tusubiri wengine labda watashare.2. Sina sehemu maalum kila ninapopita hola.
Salamu sana kwao!3. Niko na familia hapa
π―π4. Ninatamani uongozi wote utoke kuanzia ngazi ya chini mpaka juu.
Maneno ya busara, asante kwa kushare.5. Sina mengi nijuayo lakini nina moja tu la kusema.
Kwenye maisha jifunze kukaa kimya, usikurupuke kuongea au kujibu chochote bila kufikiri. Jitahidi kadri uwezavyo kuishi maisha ya amani kuanzia ndani ya moyo wako, familia na jamii kiujumla!.
Kila ukiandika huwa nafurahi classmate π€ siku njema pia, enjoy mapumziko!Asante na asubuhi njema.
Wewe nikiangalia post zako huwa njnaziona zina ya zaidi tofauti na zinavyoonekana.Umetulia home mkoa gani?
π€AiseeDAR imepoa sana sikutegemea! Watu wapo wanatombana tu makwao