Oktoba 29 - tulioshindwa kutoka majumbani kwa sababu mbalimbali tukutane hapa

1. Nimedondoka bafuni nilikuwa najiandaa kwenda kwenye maandamano, nilikuwa mstari wa mbele kikosi cha Harmful 😁

2. Naokota okota kila sehemu

3. Nipo nacheki movie tu

4. Sina uhakika

5. Hivi unajua huwa unapita tarehe na mwezi wa kifo chako kila mwaka bila kujua 😁
 
Kaka jeshi langu linaendelea na kaz ila pengo lako halijazibika πŸ˜…
 
1. Nimedondoka bafuni nilikuwa najiandaa kwenda kwenye maandamano, nilikuwa mstari wa mbele kikosi cha Harmful 😁
Yani unadondokaje dondokaje πŸ˜… ulikua unafanya nini bafuni, au Mbaga Jr keshakuambukiza tabia mbaya πŸ˜…πŸ˜…
5. Hivi unajua huwa unapita tarehe na mwezi wa kifo chako kila mwaka bila kujua 😁
Sijawahi kuwaza kuhusu hili aiseeh!
 
Mnaandamania kwenye link gani, tuwatumie reinforcement πŸ˜†πŸ˜†
Hamna nipo road kwel serious sio uongo πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Sio masikhara ukiachana na kukomboa nchi me napenda fujo kwahiyo haya ndiyo mambo yangu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hamna nipo road kwel serious sio uongo πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Haya angalia usivunjwe miguu hiyo πŸ˜†πŸ˜…
Sio masikhara ukiachana na kukomboa nchi me napenda fujo kwahiyo haya ndiyo mambo yangu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Sehemu yoyote yenye fujo huwezi ukanikuta aiseeeh, nimeshajikubali mimi ni mmoja wa wale watanzania waoga kupitiliza.
 
Haya angalia usivunjwe miguu hiyo πŸ˜†πŸ˜…

Sehemu yoyote yenye fujo huwe ukanikuta aiseeeh, nimeshajikubali mimi ni mmoja wa wale watanzania waoga kupitiliza.
Nipo makini sana

Kikosi Cha moto πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ wanaharibu hao mpaka shel za watu wanachoma daah inabid tuwaambie wapunguze hasira
 
Nipo makini sana

Kikosi Cha moto πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ wanaharibu hao mpaka shel za watu wanachoma daah inabid tuwaambie wapunguze hasira
Misplaced anger πŸ˜«πŸ˜–πŸ€―πŸ˜€πŸ€¬

Hao ndiyo watawaletea shida kubwa na watafanya polisi wa-justify kutumia nguvu kubwa na hata kuua watu.
Tusiharibu mali za watanzania wenzetu, hakuna kitakachopatikana kwa kufanya hivyo.
 
Subir kwanza huku pamewaka nitarud baada ya nusu saa acha niongoze kikosi changu kidogo πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…