Oktoba 7 ni birthday ya Rais Putin na Rais mstaafu Kikwete!

Oktoba 7 ni birthday ya Rais Putin na Rais mstaafu Kikwete!

Mstaafu anatimiza miaka 72, alie madarakani ana miaka 70.

Mmoja alikuwa Lt. Col; mwingine alikuwa Colonel & KGB Intelligence Officer.

Mungu awajalie afya njema wanapoendelwlea kuishi chini ya uso wa jua.
 
Back
Top Bottom