Okwi amefunga goli nyingi kuliko timu nzima ya Yanga SC

Okwi amefunga goli nyingi kuliko timu nzima ya Yanga SC

Nadir Haroub hana hamu na Okwi; Okwi alimfanyia kitu kibaya sana siku ile! Deja vu kwa mbaaali.
 
Teh sina hakika kama mhenga kafunga magoli yote kwenye goli la upande mmoja lkn nina uhakika kafunga magoli yote uhuru stadium
 
Kuna mechi mbili mfululizo Mbeya Prison na Mbeya city.. Yale ya kanda ya ziwa msimu uliopita yanajirudia
 
Tarehe 28 iyo.. Vyura FC lazima wajibebe.. kama naona zile tano tuna wapa tena vilee..
 
View attachment 613911

Mchezaji wa Simba Emanuel Okwi amefunga magoli nane (8) hadi sasa katika mechi sita za ligi alizocheza msimu huu, magoli mengi zaidi ya timu nzima ya Yanga ambayo imekuwa na magoli sita tu

Amefunga magoli hayo (8) dhidi ya Ruvu Shooting (4), Mwadui (2) na Mtibwa Sugar (1), Njombe (1)
Weka sawa kumbkumb zako, mkuu [emoji120]
 
Timu ya mbumbumbu ina shida sana wao wakishinda ni sawa ila Yanga kashinda rushwa.
 
Wanajifanya hawaioni post
demigod


Nikuambie kitu Boss!

Licha ya usajili wa kihistoria ulio ufanya msimu huu wa 2017/18....Unajisikiaje kuwa na alama sawa na Wanajangwani baada ya takribani mechi zisizopungua 7 sasa!

Una lipi la kujivunia so far...?
 
Muda wa kujivunia na Magoli ulikuwa msimu uliopita ambapo idadi ya mabao inapewa kipaumbele kwenye uamuzi wa Ubingwa wa VPL..

Rais wa TFF alishasema kuwa msimu mpya Bingwa hato amuliwa kwa Magoli tena.
 
Haahaaaa.....nimecheka...Kwani nimekumbuka msimu ule kipa was yanga Dida walipo sema amefunga mabao mengi kuliko mshambuliaji no 1 wa Simba ...Kipindi kile Musa,mgosi...hahahaa Hadi raha

Kipindi kile Yanga alikuwa amempiga gape la kutosha la alama mtani wake....ndio maana hata wakawa na confidence ya kusema hivyo..

Licha ya kutumia Bilion 1.3 alama zako ziko sawa na aliyetumia Milioni 300 kwenye usajili...
 
Hongereni sana yanga kwa kufanikiwa kumpita magoli okwi leo


Hizi furaha nilidhani zinatokana na kumpita Yanga alama kwenye msimamo. Kumbe ni shamra shamra za kumpita magoli..😀😀😀

Nimecheka sana yaani......
 
Back
Top Bottom