Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
vichekesho vya karneMtakula 5 tar 28
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vichekesho vya karneMtakula 5 tar 28
wasindikizajisio vibonde kiongozi ndio maana wapo ligi kuu
Weka sawa kumbkumb zako, mkuu [emoji120]View attachment 613911
Mchezaji wa Simba Emanuel Okwi amefunga magoli nane (8) hadi sasa katika mechi sita za ligi alizocheza msimu huu, magoli mengi zaidi ya timu nzima ya Yanga ambayo imekuwa na magoli sita tu
Amefunga magoli hayo (8) dhidi ya Ruvu Shooting (4), Mwadui (2) na Mtibwa Sugar (1), Njombe (1)
TakukuruSasa?
Mkuu hongereni sana yanga kwa kufanikiwa kumpita magoli okwi leoTimu ya mbumbumbu ina shida sana wao wakishinda ni sawa ila Yanga kashinda rushwa.
Hongereni sana yanga kwa kufanikiwa kumpita magoli okwi leoTeh sina hakika kama mhenga kafunga magoli yote kwenye goli la upande mmoja lkn nina uhakika kafunga magoli yote uhuru stadium
Haahaaaa.....nimecheka...Kwani nimekumbuka msimu ule kipa was yanga Dida walipo sema amefunga mabao mengi kuliko mshambuliaji no 1 wa Simba ...Kipindi kile Musa,mgosi...hahahaa Hadi raha
Hongereni sana yanga kwa kufanikiwa kumpita magoli okwi leo
Huyu n mwanaume mashine