Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washambuliaje wazee ni muhumu.. ila kwenye champions league inabidi vijana wawepo... jackson muleka 20 yrs.. samatta kacheza champions league early 20s... ukitaka ubebe champions legue lazima uwe na vijana wenye spidiii na brain ya kufanya maamuzi ya haraka sahihi... angalia mamelodi, mazembe, enyimba etc washambuliaji wao wana age gani
Duh hako ka clip ka kitambo sana Juni 2017 angalia na hii T Shirt ndio hiyo hiyo enzi za KaburuKama itakuwa sahihi
Hao wanaowaita wazee waliwanyatia tukawapiga baowazee wamechukia kombe miaka mi3 mfululizo,wazee wamechukua ufungaji bora miaka mi3 mfululizo,wazee wamesababisha kipa bora awe Manura miaka mi3 mfululizo,wazee waliwanyoosha Al Ahl, Nkana na AS Vita. Wazee wa kazi
Kama itakuwa sahihi
Sio kwa kubebwa kule ...raisi wa CAF uwanjani akatolewa babu hovyoChukueni Ligi sasa mbele ya hao wazee tuone
Si mchukue VPL sasa shida iko wapi kwani nyie mbuteSio kwa kubebwa kule ...raisi wa CAF uwanjani akatolewa babu hovyo
Kwa hiyo unasemaje, ni kweli ndani ya nyumba!? Mana na wewe kwa maboko hujambo! Ha ha hawazee wamechukia kombe miaka mi3 mfululizo,wazee wamechukua ufungaji bora miaka mi3 mfululizo,wazee wamesababisha kipa bora awe Manura miaka mi3 mfululizo,wazee waliwanyoosha Al Ahl, Nkana na AS Vita. Wazee wa kazi
Wazee walipigwa 5 mfululizo, wazee walirukishwa kichurachura tarehe 8 march na morrisonwazee wamechukia kombe miaka mi3 mfululizo,wazee wamechukua ufungaji bora miaka mi3 mfululizo,wazee wamesababisha kipa bora awe Manura miaka mi3 mfululizo,wazee waliwanyoosha Al Ahl, Nkana na AS Vita. Wazee wa kazi