Okwi ndani ya Simba

Okwi ndani ya Simba

Ila kiukweli mbumbumbu ni mbumbumbu tu! Huwa mnokoteza wapi tuhabari twa kuja kuwadanganyishia wenzenu humu!? Shida ubongo wenu wote ashachukua Manara, japo hili hajaongea inaonyesha wewe ni nyumbu mkaidi! Ha ha ha

Time will Tell!
 
Mkuu hao wachezaji wa huo umri bongo ni wazinguaji ,unaona kama salamba kapotea hasikiki ,kumleta mchezaji wa umri mdogo na kiwango cha juu toka nje vilabu vya Tanzania hawawezi kutoa hizo hela
Washambuliaje wazee ni muhumu.. ila kwenye champions league inabidi vijana wawepo... jackson muleka 20 yrs.. samatta kacheza champions league early 20s... ukitaka ubebe champions legue lazima uwe na vijana wenye spidiii na brain ya kufanya maamuzi ya haraka sahihi... angalia mamelodi, mazembe, enyimba etc washambuliaji wao wana age gani
 
wazee wamechukia kombe miaka mi3 mfululizo,wazee wamechukua ufungaji bora miaka mi3 mfululizo,wazee wamesababisha kipa bora awe Manura miaka mi3 mfululizo,wazee waliwanyoosha Al Ahl, Nkana na AS Vita. Wazee wa kazi
 
Hao wanaowaita wazee waliwanyatia tukawapiga bao
 
wazee wamechukia kombe miaka mi3 mfululizo,wazee wamechukua ufungaji bora miaka mi3 mfululizo,wazee wamesababisha kipa bora awe Manura miaka mi3 mfululizo,wazee waliwanyoosha Al Ahl, Nkana na AS Vita. Wazee wa kazi
Kwa hiyo unasemaje, ni kweli ndani ya nyumba!? Mana na wewe kwa maboko hujambo! Ha ha ha
 
wazee wamechukia kombe miaka mi3 mfululizo,wazee wamechukua ufungaji bora miaka mi3 mfululizo,wazee wamesababisha kipa bora awe Manura miaka mi3 mfululizo,wazee waliwanyoosha Al Ahl, Nkana na AS Vita. Wazee wa kazi
Wazee walipigwa 5 mfululizo, wazee walirukishwa kichurachura tarehe 8 march na morrison
 
Back
Top Bottom