Kwanini?Huyu jamaa nilizani amebadilika pamoja na uhenga wote alionao...bado tu hajaacha kuringa na kujiona ni bora kuliko wachezaji wote Wa simba..Inasemekana hakucheza mechi na Azam coz alichelewa kurudi kutoka kwao kitu ambacho ni kawaida yake
17 PHD these are results
Ataishia wapi?
Na aliondoka na mshiko nusu. Sio matopeni anakopewa zote harafu anatafuta sababuAliwekewa ngumu pale ndio maana paka mshinda mapema! Akarudi kule ambapo anapewa nafasi ya kushika watu korodani.