Okwi ni mkubwa kuliko Simba SC?

Okwi ni mkubwa kuliko Simba SC?

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,409
Huyu jamaa nilizani amebadilika pamoja na uhenga wote alionao...bado tu hajaacha kuringa na kujiona ni bora kuliko wachezaji wote Wa simba..Inasemekana hakucheza mechi na Azam coz alichelewa kurudi kutoka kwao kitu ambacho ni kawaida yake

17 PHD these are results
 
Kwanini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vituko alivyowafanyia simba Kipindi kile sikutegemea kama watamchukua tena, kuna msemo unasema Mjinga mara ya kwanza, mara ya pili ..... Atawasumbua sana huyu, Ila tusiseme sana hatujui mkataba wake unasemaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aulizwe Kaburu huko Keko.
Sio mageni hayo kwa Okwi. Anajua Simba wanamhitaji zaidi kuliko yeye anavyoitaka Simba. Kidogo watazingua anasepa. Mpunga wa usajili haurudi
 
hahahahahahahaha,bado hajaanza kuchagua mechi? na kusingizia mgonjwa ili aruke disco?
 
Back
Top Bottom