Old Boys wa Old Moshi Sekondari Shule Kongwe

Old Boys wa Old Moshi Sekondari Shule Kongwe

My old school [emoji38][emoji38][emoji38]
Mawenzi 3 bweni langu, kazi ya kipuuzi ilikua kusafisha trenches asubuhi.

Ila bata za ushirika na YMCA jumamosi hakika za kukumbukwa[emoji1][emoji1][emoji1]
Mawenzi mwaka gani mkuu?! Enzi za Mama Mkiramweni ama
 
Old is gold... long time kitambo nakumbuka vile vyoo vya mapambano ukiingia inabidi uache nguo nje usitoke na harufu
 
Lazima uvue viatu ukitaka kuingia bwenini. Kuna kipindi mvua ikinyesha ukiliwaza lile tope la nje unaahirisha kwenda kula. Shengena 25
Pure kwa parachichi au mbatata zenye maganda unapewa na supu duuuh! Life was so hard actually l didn't enjoy my A level enzi za Mr ASELI
 
My old school [emoji38][emoji38][emoji38]
Mawenzi 3 bweni langu, kazi ya kipuuzi ilikua kusafisha trenches asubuhi.

Ila bata za ushirika na YMCA jumamosi hakika za kukumbukwa[emoji1][emoji1][emoji1]
Na wengi lakin walijifunzia pombe hapo
Bia za bure ukizamia
 
Picha ya juzi kabisa hii,darasa la PCM hili sijui umeruhusiwa vipi na Mungaya the Second master.
 
Wanafunzi wa old ndio walikua wanaongoza kuzamia kwenye maarusi na masherehe pale moshi town wanatoroka night af wanazamia uko ni mambo ya bufee mvinyo na kubeba wanabeba kwenye ma box
 
1997 - 2000 Kibo 4 then Shengena 24. Kwa mangile, Bubu, Mama mdogo, DH kwa mzee Ommy, Ushirika kuzamia
 
Back
Top Bottom