Old Boys wa Old Moshi Sekondari Shule Kongwe

Old Boys wa Old Moshi Sekondari Shule Kongwe

Wanafunzi wa old ndio walikua wanaongoza kuzamia kwenye maarusi na masherehe pale moshi town wanatoroka night af wanazamia uko ni mambo ya bufee mvinyo na kubeba wanabeba kwenye ma box
YMCA kila jmosi hakukosi dents za OBs[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Shengena 4, hiyo. Ila wimbo wa shule nilikuwa siupendi na sikuwahi kuuimba.
 
Back
Top Bottom