Old dirty bastard

vidodi

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2014
Posts
361
Reaction score
125
Tunasema kuna wasanii wamepinda kama Chris Brown, TI au lilwayne na wengineo ila huyu jamaa odb alikuwa ni kiboko saaana yaani hatari had madaktar walikuwa hawajui jamaa karukwa na akili sababu ya bangi au ndo alivyozaliwa hatari saana
 
Duuuuuuu utafikiri unakimbizwaa
 
Old dirty bastard alikuwa ni noma nakumbuka ngoma zake kama brooklyn zoo na baby i got your money , inasemekana fbi walimwondoa dunia
 
Remembering them days when hiphop was hiphop.Rza,Gza,The Chef Raekwon,Ghost Face Killah,Cappadona,InspectaDeck u name it..
 
kitu pekee nachojua kuhusu ODB ni ngoma yake 'shimmy shimmy ya' niliyoifahamu kupitia movie, na verse zake kwenye 'ghetto supastar'. Hebu fungukeni ngoma za maana alizofanya, tucheki inakuaje
 
kitu pekee nachojua kuhusu ODB ni ngoma yake 'shimmy shimmy ya' niliyoifahamu kupitia movie, na verse zake kwenye 'ghetto supastar'. Hebu fungukeni ngoma za maana alizofanya, tucheki inakuaje

brooklyn zoo, shimy shimy ya, got your money (kelis wa nas alijulikana kwenye hii)....
 
brooklyn zoo, shimy shimy ya, got your money (kelis wa nas alijulikana kwenye hii)....

babkubwa, ngoja niziskilize kama zitastahili kuwa kwenye playlists zangu. Pamoja sana
 
kitu pekee nachojua kuhusu ODB ni ngoma yake 'shimmy shimmy ya' niliyoifahamu kupitia movie, na verse zake kwenye 'ghetto supastar'. Hebu fungukeni ngoma za maana alizofanya, tucheki inakuaje

rise and fall
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…