Old dirty bastard

Old dirty bastard

mtoto wake anaitwa young dirt bastard anafata nyayo zake kafanana nae kinoma ila sio kichaa ka mshua
 
Punky shukran kusahihisha si unajua siku nyingii! na kaumri kamesogea hizo siku za ubichi bado damu inachemka tunakumbuka nwa ya easy e na dre mpaka public enemy waqt umeenda wapi!
 
Tunasema kuna wasanii wamepinda kama Chris Brown, TI au lilwayne na wengineo ila huyu jamaa odb alikuwa ni kiboko saaana yaani hatari had madaktar walikuwa hawajui jamaa karukwa na akili sababu ya bangi au ndo alivyozaliwa hatari saana
Ila kama jamaa mizani yake ya 'kupinda' ni mpaka T.I na lil wayne, napata picha kuwa alikuwa 'muigizaji' mwingine tu, tough in songs, poozay in real life, kama Drake on the mic, na Drake around NBA players. Angalau Chris ana matukio yake, ila ni ya kawaida pia.

Ungempima labda na mtu kama DMX, ningepata picha halisi kama kweli alikuwa amefyatuka.
 
Hahaha Sema jamaa hadi madaktar bingwa walishndwa kujua tabia mbaya kaipata wapi maana kuna video yupo chooni anajsaidia haja kubwa halafu anatumia toilet paper kujisafisha igoogle utaiona
 
Haha then hawawezi kuitwa madaktari bingwa bro. Nadhani matumizi kupitiliza ya hizo dawa ndo yalisababisha mikasa yake hiyo kwa namna moja ama nyingine. Kuna story mshkaji aliwahi ku-organise watu kadhaa wakaokoa maisha ya dogo aliyekuwa kwenye gari lililopata ajali, na bado akawa anamtembelea hospitalini mara kwa mara kumjulia hali.
 
kuna video yake moja baada ya kumgonga demu, demu kuomba malipo, jamaa akamwambia "you should pay me..
 
Wu tang clan! ghost face killer, freektah, method man nakumbuka zamani

Kina method man no old school lakini ukiona sura zao bado vijana,hawa majamaa wanatumia yaani ukiangalia bado wadogo
 
Vituko vyake vilimfanya kua star mwishowe vikampelekea jamaa kifo..ODB ameacha watoto kumi na tatu.
 
Ila kama jamaa mizani yake ya 'kupinda' ni mpaka T.I na lil wayne, napata picha kuwa alikuwa 'muigizaji' mwingine tu, tough in songs, poozay in real life, kama Drake on the mic, na Drake around NBA players. Angalau Chris ana matukio yake, ila ni ya kawaida pia.

Ungempima labda na mtu kama DMX, ningepata picha halisi kama kweli alikuwa amefyatuka.

jamaa ni certified chizi...yeye na redman wanavyeti vya utahira...alishawahi kuiba viatu dukani na kukimbizwa na polisi hapo tayari star na pesa akiwa nayo...album zake ni ukatuni mtupu nyimbo nzuri unakuta mbili tu ila anauza mpaka platinum...ila hayo hayo madawa ndio yamemuua...watoto zaidi ya kumi kila mmoja na mama yake..
 
alipata shavu la kushirikishwa kwenye nyimbo ya mariah carey 'fantasy remix'...kipindi hicho mariah carey habari nyingine kabisa..
 
Wu tang clan wenye akili zilizotulia walikuwa wachache khasa ile wu tang clan chamber.
 
Sijui kwa nn lkn kati ya hawa maraper wa kizazi kipya ukimtoa rozay...namkubali sana Ace Hood na kendrick lamar nadhani hawa wangeweza kupenya kwenye ulimwengu wetu wa zamani
 
jamaa ni certified chizi...yeye na redman wanavyeti vya utahira...alishawahi kuiba viatu dukani na kukimbizwa na polisi hapo tayari star na pesa akiwa nayo...album zake ni ukatuni mtupu nyimbo nzuri unakuta mbili tu ila anauza mpaka platinum...ila hayo hayo madawa ndio yamemuua...watoto zaidi ya kumi kila mmoja na mama yake..

Haha Ila we Easy mwenyewe ulikuwa na watoto kibao kwa mama tofauti pia. Nimekusoma man
 
hahaha...halafu nikafa kwa ngoma ila wife halali yupo mpaka leo tena negative...Easy E alikua ana chepuka halafu hamgusi wife
 
Easy E mambo ya NWA hapo na dre palikuwa hapatoshi.
 
Tunasema kuna wasanii wamepinda kama Chris Brown, TI au lilwayne na wengineo ila huyu jamaa odb alikuwa ni kiboko saaana yaani hatari had madaktar walikuwa hawajui jamaa karukwa na akili sababu ya bangi au ndo alivyozaliwa hatari saana

WHU Tang clan walikuwa kama wamedata hivi.
 
Wu tang clan! ghost face killer, freektah, method man nakumbuka zamani

Freaky Tah alikuwa member wa kundi la Lost Boyz, akiwa na kina Mr. Cheeks, DJ Spigg Nice na Pretty Lou.
 
Back
Top Bottom