Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
brooklyn zoo, shimy shimy ya, got your money (kelis wa nas alijulikana kwenye hii)....
kwenye got your Money kuna kipande anasema "HAALELUYAH"........hah hah hah hah dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
brooklyn zoo, shimy shimy ya, got your money (kelis wa nas alijulikana kwenye hii)....
Capadona?
Naona mzee hardcore rap sana. Anyway, ndo nimeanza kumskiliza Masta Ace kwenye 'Good ol' love' na 'Lets take a walk', na design kama namuelewa hivi.
Mzuka. Nimeamua kuskiliza muziki kurudi nyuma ili nipate flavour na madini ya zamani, hawa madogo wa siku hizi wananizingua tu. Nimeshazishusha hiyo 'aknowledge', 'born to roll' na 'nostalgia', nikiwa kwenye zone ntaziskiliza.Daah kitambo sasa hiv tunasikiliza good music tu hadi Kiba ndani hahaha,,,huyo jamaa mchafu sana msikilize na kwenye Acknowledge