Ila kama jamaa mizani yake ya 'kupinda' ni mpaka T.I na lil wayne, napata picha kuwa alikuwa 'muigizaji' mwingine tu, tough in songs, poozay in real life, kama Drake on the mic, na Drake around NBA players. Angalau Chris ana matukio yake, ila ni ya kawaida pia.Tunasema kuna wasanii wamepinda kama Chris Brown, TI au lilwayne na wengineo ila huyu jamaa odb alikuwa ni kiboko saaana yaani hatari had madaktar walikuwa hawajui jamaa karukwa na akili sababu ya bangi au ndo alivyozaliwa hatari saana
Ila kama jamaa mizani yake ya 'kupinda' ni mpaka T.I na lil wayne, napata picha kuwa alikuwa 'muigizaji' mwingine tu, tough in songs, poozay in real life, kama Drake on the mic, na Drake around NBA players. Angalau Chris ana matukio yake, ila ni ya kawaida pia.
Ungempima labda na mtu kama DMX, ningepata picha halisi kama kweli alikuwa amefyatuka.
Haha then hawawezi kuitwa madaktari bingwa bro. Nadhani matumizi kupitiliza ya hizo dawa ndo yalisababisha mikasa yake hiyo kwa namna moja ama nyingine. Kuna story mshkaji aliwahi ku-organise watu kadhaa wakaokoa maisha ya dogo aliyekuwa kwenye gari lililopata ajali, na bado akawa anamtembelea hospitalini mara kwa mara kumjulia hali.Hahaha Sema jamaa hadi madaktar bingwa walishndwa kujua tabia mbaya kaipata wapi maana kuna video yupo chooni anajsaidia haja kubwa halafu anatumia toilet paper kujisafisha igoogle utaiona
Wu tang clan! ghost face killer, freektah, method man nakumbuka zamani
Ila kama jamaa mizani yake ya 'kupinda' ni mpaka T.I na lil wayne, napata picha kuwa alikuwa 'muigizaji' mwingine tu, tough in songs, poozay in real life, kama Drake on the mic, na Drake around NBA players. Angalau Chris ana matukio yake, ila ni ya kawaida pia.
Ungempima labda na mtu kama DMX, ningepata picha halisi kama kweli alikuwa amefyatuka.
Freektah hakuwa Wu tang clan alikuwa Lost boyz
jamaa ni certified chizi...yeye na redman wanavyeti vya utahira...alishawahi kuiba viatu dukani na kukimbizwa na polisi hapo tayari star na pesa akiwa nayo...album zake ni ukatuni mtupu nyimbo nzuri unakuta mbili tu ila anauza mpaka platinum...ila hayo hayo madawa ndio yamemuua...watoto zaidi ya kumi kila mmoja na mama yake..
Haha Ila we Easy mwenyewe ulikuwa na watoto kibao kwa mama tofauti pia. Nimekusoma man
Tunasema kuna wasanii wamepinda kama Chris Brown, TI au lilwayne na wengineo ila huyu jamaa odb alikuwa ni kiboko saaana yaani hatari had madaktar walikuwa hawajui jamaa karukwa na akili sababu ya bangi au ndo alivyozaliwa hatari saana
Wu tang clan! ghost face killer, freektah, method man nakumbuka zamani