Old dirty bastard

Mile mziki huu nashindwa kuuelewa kabsa... That's y sijisumbui kuskilza, mile dzain km MTU aliyepoteza ufaham mwaka 2000 kaja kuzinduka Leo, 2000 kurud nyuma najua mengi IPA mzik Wa Leo walau thumn cjui

Makaveli killuminati
 

Sasa dmx mbona kawaida tu kwa wanaume wale
 
Wu tang clan! ghost face killer, freektah, method man nakumbuka zamani

Freaky tah alikuwa member wa lost boyz na sio wu tang naye ni marehem r.i.p
members wa wutang walikua km 10 au 11 hivi nao ni red man, ODB, ghostface killah, inspectah deck,RZA, method man, cappadonna, GZA,masta killah, raekwon na U-GOD

ODB ndo huyu hapa kwenye picha
 
Jamaa alikuwa mtukutu sana, muda mwingi aliutumia baa badala ya nyumbani
 
Gambakuffu red man hakuwa wu tang clean angalia vizuri ndugu.
 
ni kweli mkubwa redman hakuwa member wutang ila mara nyingi anajichanganya na members hasa method man ni jamaa yake wa karibu
 

Best Group Ever chini ya Eazy E RuthLess Record


Vichaa wangu hao sina wa kusema nani mkali maana kuna mtu wa Punch hatari yaani km JCB na CHINDO hadi leo sijui nani mkali.


WestSide Connection kitaaaambo


WU Tang Clan


Das Efex


Alcoholic X to the Ziiii


Na mwanae Dj Premier


Hawa ndio wa mwisho kufanya kusikiliza HipHop.

List lipo refu sana kina Terminology, M.O.P, Pharaou Moche, Master Ace,Keith Murray,Cannibus,Dog Pound,Outlawz,krs-1 and soooooo many hadi nimewasahau aisee. Anaye sema kina Lil Wayne sijui Drake wanafanya hip hop wanachekesha sana.
 

Mkuu, Wu Tang Clan ilikuwa inaundwa na RZA, GZA, Method man, Raekwon, Ghostface Killah, Inspectah Deck, U-god, Masta Killah, Cappadonna and ODB himself.

Redman wakati huo alikuwa na crew yake inaitwa Def Squad; Hii crew ilikuwa inaundwa na Keith Murray, Eric Sermon na Redman mwenyewe.

Hata hivyo Redman na Method man walileta duet poa.
 
Nawakumbuka pia BLACKMOON na ngoma zao kama ; buck em down; six feet deep; u r da man; i got cha opin, n.k.
Pia kuna WU SYNDICATE na ngoma zao kama, weary eyes; where z the heaven; pointing fingers, metropolis na latunza hit...
 
Naona mzee hardcore rap sana. Anyway, ndo nimeanza kumskiliza Masta Ace kwenye 'Good ol' love' na 'Lets take a walk', na design kama namuelewa hivi.
 
kuna machizi wangu ONYX sijui wako wapi,Dah hip hop imekufa sasa hivi
 
Tunasema kuna wasanii wamepinda kama Chris Brown, TI au lilwayne na wengineo ila huyu jamaa odb alikuwa ni kiboko saaana yaani hatari had madaktar walikuwa hawajui jamaa karukwa na akili sababu ya bangi au ndo alivyozaliwa hatari saana


What y'all thought y'all wasn't gon'
see me?
I'm the Osirus of this shit
Wu-Tang is here forever,
motherfucker
It's like this ninety-seven
Aight my niggaz and my niggarettes
Let's do it like this
I'ma rub your ass in the moonshine
Let's take it back to seventy-nine
 

Triumph,,,,,?//
 


Capadona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…