Old is Gold: Good music never dies

Old is Gold: Good music never dies

Wahenga wenzangu bila shaka kwa uwezo wa Mungu hamjambo kabisa! Wakuu naombeni msaaada kuna nyimbo nimetafuta kwa kuseach kila kona bila mafanikio kiukweli sijui ni bandi gani ziliimba hizo song ila nakumbuka baadhi ya maneno katika nyimbo hizo

1. Mama mdogo alinichukua kijijini, alimuahidi mama yangu mambo mengi yakwamba atanisomesha nakuyajali maisha yangu ya baadae.....

2.Marehemu aliusia msininyanyase....Watoto wamekuja juu wanataka nyumba yao

3. Kabwe rudi nyumbani ukitoka Gerezani...

Namba yangu ya WhatsApp 0 683 965 391

Natanguliza Shukrani
 
Chonde chonde nisaidie taarabu hii yenye maneno haya;
Na hili pia kaseme acha kujishaua×2
Lile lilompata kideku maungoni likakufikia aaah,ume umepanda umeshuka kwangu hukuona ndaniiii
Ni kundi gani na unaitwaje huo wimbo?
Nisaidie na nyimbo zote za album hiyo. Pli,naomba full album ya dar modern taarabu(watoto wa kandoro) - vijimambo,
Natanguliza shukrani.
 
Naomba wenye wimbo unaoimbwa "Bure bado wasumbuka kubeba bila kushika Kama huna asili navyo mwiba unachoma kote si rahisi kukwepa Kama huna asili navyo
 
Bana Mwambe Dotinata Official Video


Source : Tunes of Africa

Dortinata aibuka 2022


Source : wasafi media
 
Mhhhh! MC Hammer enzi zake...alikuwa dancer mzuri sana huyu mwenyewe aliwahi kutamka kwamba Marekani nzima aliyekuwa anamshinda katika kudance ni Michael Jackson tu 🙂
Huyu ndio alikuwa msami wa enzi hizo,dancer hatari kipindi hicho 90s,nipo sinza,nyimbo zake zilitamba sana
 
Skärholmstorg Stokholms tour 2022
Sweden

DEKULA BAND


Stockholm Sweden 02/07/2022 Musicians:
  • Guitar/singer: Kahanga Dekula (Vumbi)
  • Guitar: Göran Larsson
  • Bass: Joseph Semafumu
  • Drums: Michigan Ngoy
  • Sax: Henrik Westerberg
  • Singer: Gaby Kababa Nkomba
  • Cameraman: Arwa Mzee Kobe Brayo
  • Quality images courtesy of Arwa-iCTv
Source : Dekula2 Band (Officia
 
Back
Top Bottom