Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
UMESHINDWA KUTAJA HaTA WIMBO MMOJA WA MBARAKA MWINSHEHE? JE WEMA, SHIDA, MASHETANI, ESTER, ETC SIYO MAARUFU?
Siyo kama nimeshindwa....suala hapa ni uzito wa ujumbe. Katika hiyo orodha ya hapo juu katika hizo nyimbo ulizopendekeza utaziweka wapi? Na ndiyo maana nilisema list ni kubwa na niliweka tu Top 10 si Top 1000. Mbona Dunia Msongamano ni wimbo mkali lakini kwa hapo ningeweka wapi? Hiyo ni Top 10 tu.