Old is gold-hizi nyimbo ni kali all the time

Old is gold-hizi nyimbo ni kali all the time

UMESHINDWA KUTAJA HaTA WIMBO MMOJA WA MBARAKA MWINSHEHE? JE WEMA, SHIDA, MASHETANI, ESTER, ETC SIYO MAARUFU?



Siyo kama nimeshindwa....suala hapa ni uzito wa ujumbe. Katika hiyo orodha ya hapo juu katika hizo nyimbo ulizopendekeza utaziweka wapi? Na ndiyo maana nilisema list ni kubwa na niliweka tu Top 10 si Top 1000. Mbona Dunia Msongamano ni wimbo mkali lakini kwa hapo ningeweka wapi? Hiyo ni Top 10 tu.
 
Ningekushika mkono kama tu usingeuweka huo wimbo wa Tunda wa Muumini.
Yani hapo umeharibu kila kitu...

Ni sawa na kula ugali na Nanasi...


Labda tu humpendi Muumin, ila ule wimbo una ujumbe mkali na ulitikisa sana na kumpa chati Muumin.
 
1. ikati
2. Colombia
3. Dance with me
4. She is hot
5. We miss Manelo
6. Easy dance
7. Namba one
8. Ouagadougou
9. Love station
10. Kazzet
11. Casanova wa Pat Shange sio wa G. Lavert
12. Umagubane
13. Stimela
14. Angelina
15. Anytime bby
16. Home of Africa ''Yela''
17. Let him Go
18. Nomakanjani
19. Sarafina
20. Soweto Jive...

Itaendelea
 
Black box enzi hzo za 89' ndio ilikuwa zinaanza kabla ya kuanza movie kiingilio sh 5,snake in the eagles shaddow na nteze dragon<enter in the dragon>
 
1.DO YOU REMEMBER-PHIL COLLINS
2.SOME BROKEN HEART-DON WILLIAMS
3.PLEASE FORGIVE ME-BRYAN ADAMS
4.FOREVER IN LOVE-KENNY ROGERS
5.ABBA-CHIQUITITA
6.SACRIFICE-ELTON JOHN
7.JUDY BOUCHER-CANT BE WITH YOU TONIGHT

8.FROM A DISTANCE-NANCI GRIFFITH
9.BLUE-IF YOU COME BACK
10.PAIN IN ME-EMMANUEL NKULILA(FROM TANZANIA).Hizi ni baadhi ya nyimbo ambazo ziliwahi kutamba enzi hizo lakin bado zinaelendelea kufanya vizuri hadi leo hii.always OLD IS GOLD

5,6,7 nazikubali sana ndugu yangu
 
tunda sio wa kitambo, ni almost kizazi kipya



Ni kweli ila nimetia Top ten ya nyimbo zetu za tanzania. Ujumbe mtamu na murua wa Tunda si sawa na Shida wa Mbaraka mwinshehe. Shida ni wimbo mzuri ila ni wa kawaida tu na kwa kipindi kile 1979/80 ulipitwa umaarufu na Kasuku pamoja na Sina makosa za Les Wanyika.
 
daniela-elton john
sacrifice-elton john
when you kiss me-shania twain
lucile-ken rogers
my best friend-don williums
love is strange-keny rogers
 
Bado upo mbali sana, kwenye game la flashback+ old skul, sababu kubwa ni kuacha hizi kali zilizotikisa, zinazotikisa na zitakazotikisa:-

1. I have been thinking about u-London Beat
2. Think about your love-Kenny thomas
3. Holiday-Madomma
4. A little bit of love-New edition
5. Mr. Telephone- Jackson 5
Kusikiliza na kudownload

Hzi nyimbo za old is gold bofya hapa kuna vol one na vol two



Mixed by djnasmiletz
 
I don't wanna see you again--Uncle sam..

-End of the road--boys to men.

One sweet day-- Wanya Moriss& Marian Carey.

On bended knee-- boys to men.

Tomorrow-- Brandy.

Open arms-- Marian Carey.

Hello -- Lione Rich.

Spanish guitar-- Tony braxton.

Breath again-- Tony Braxton.

We are the world-- all musicians.

hold on- Boys to men.

My love will go on -- Celine Dion.
 
Back
Top Bottom