Old School: Je, Unazikumbuka nyimbo na wasanii wa Bongofleva wa enzi hizo?

Old School: Je, Unazikumbuka nyimbo na wasanii wa Bongofleva wa enzi hizo?

Napenda old skool bongo flava pia.
II Proud, SosB, Hard Blasters na wengineo niliobahatika kuwasikia.
Katika nyimbo Bora kwangu Kuna:
1. kukuru kakara - Sos B
2. Miko 10 ya rap - Crazy GK & AY
3. Ya Leo Kali - Wachuja Nafaka
4. Ngangari - Gangwe mobb

Na nyingine ila hizo hapo sipiti siku mbili tatu sijasikiliza. Tena nikiwa napiga kazi zinanifurahisha sana.
 
Safi sana
 
Hiyo ngangari ya Gangwe Mobb nimeitafuta sana mkuu nimeikosa
 
Akwelina tulimalize Tatizo.......akwelina mpenzi nakupenda...

Jirushe......ruka....jirushee bit kali aisee..

Nakupenda bibi kizee nakupenda kikongwe.....picco

Joseline perfume

Parkline nao hawakua nyuma..

Kali p

O-ten nichek.....huu wimbo Kuna jamaa rafk etu tulikua tunamwita O-TEN mzee wa pamba..

Mkiwa Sal B

Mkali wa Rhymes 🦁🦁 wa moro goro

List ni ndefu sana
 
Akwelina tulimalize Tatizo.......akwelina mpenzi nakupenda...

Jirushe......ruka....jirushee bit kali aisee..

Nakupenda bibi kizee nakupenda kikongwe.....picco

Joseline perfume

Parkline nao hawakua nyuma..

Kali p

O-ten nichek.....huu wimbo Kuna jamaa rafk etu tulikua tunamwita O-TEN mzee wa pamba..

Mkiwa Sal B

Mkali wa Rhymes [emoji881][emoji881] wa moro goro

List ni ndefu sana
Nakubali mkuu
 
Hapana inauma uchungu,kamloga mtoto wa mtu kisa kaangua makungu,mzee wa busara uyu uyu ,mzeee wa busaraaaa.nature
Dunia Ina mambo mengi sanaa......
Kuna dogo kipindi tunakua Kule lake zone Ali R.I.P kisa alipenda kuiba maembe kwenye shamba la bibi mmoja...
Bibi akawakuta madogo wakakimbia...walipo kua wakikimbia dogo mmoja akawa ameuma embe mara Moja na kulitupa yule m bibi...alipo fika kwenye embe akaliokota na kurud kwake..... Soon after dogo akaanza umwa kichwa na kufariki Dunia.....

Kipindi flani udogoni mm na my youngest brother tulikua wafugaji wakubwa wa sungura, simbilisi na njiwa
Ni business ambayo ilitulipa sana udogoni
Nakumbuka sana hili tukio ilikua ni kuelekea Christmas 🎄
Sasa tangu udogoni udogoni nilikua mtu wa WATU nilikusanya madogo wenzangu nikiwa Mimi na mdogo angu na mtoto wa shangazi yangu....
Tukaenda
Shamban Kwa mzee wetu alikua na matunda ya Kila aina
Njian wakat wa kurud nili wa organize madogo wenzangu tuchume majani mengi Kwa ajili ya Sungura....
Tukafika shamba Moja tuka Anza kuchuma majani gafla mtoto wa
Shangazi angu akasema ANASIKIA HARUFU YA JINI...
Mm Nika m beza na kumshushua na Nika waambia tumpuuze.....

What happened 😿😿 soon after akatokea mzee....tusijue ametokea wap 😂🤣
Akatwambia vijana mnafanya nini hapa??
Mm nikamjibu tunachuma majani ya Sungura....
AKANIULIZA MMEOMBA?
Nika mjibu majani Huwa yanajiotea sisi tuliamua kuyachuma tu ...
AKANIULIZA UNAJUA KWENYE HILI SHAMBA KUNA NINI?
Fasta
Nika recall kauli ya MTOTO wa shangazi mapigo ya moyo yakawa fasta...
Nikasema MZEE naomba utusamehe maana sisi hatukua tunajua chochote...
Mzee akasema niwasamehe nini akat wewe unasema hamna makosa..mzee akawa mkali na Mtata....
Mm Nika msisitiza atusamehe huku natetemeka...
Mzee akasema TUPENI HAYO MAJANI YOTE NA MPOTEE...
Njia ilikua uchochoro na majani mengi tulitupa na kukimbia kuto kuangalia nyuma...
Usiku hatukulala tulijua tunakufaa....all in all we are still breathing....
 
Back
Top Bottom