Old School: Je, Unazikumbuka nyimbo na wasanii wa Bongofleva wa enzi hizo?

Dunia Ina mambo mengi sanaa......
Kuna dogo kipindi tunakua Kule lake zone Ali R.I.P kisa alipenda kuiba maembe kwenye shamba la bibi mmoja...
Bibi akawakuta madogo wakakimbia...walipo kua wakikimbia dogo mmoja akawa ameuma embe mara Moja na kulitupa yule m bibi...alipo fika kwenye embe akaliokota na kurud kwake..... Soon after dogo akaanza umwa kichwa na kufariki Dunia.....

Kipindi flani udogoni mm na my youngest brother tulikua wafugaji wakubwa wa sungura, simbilisi na njiwa
Ni business ambayo ilitulipa sana udogoni
Nakumbuka sana hili tukio ilikua ni kuelekea Christmas [emoji319]
Sasa tangu udogoni udogoni nilikua mtu wa WATU nilikusanya madogo wenzangu nikiwa Mimi na mdogo angu na mtoto wa shangazi yangu....
Tukaenda
Shamban Kwa mzee wetu alikua na matunda ya Kila aina
Njian wakat wa kurud nili wa organize madogo wenzangu tuchume majani mengi Kwa ajili ya Sungura....
Tukafika shamba Moja tuka Anza kuchuma majani gafla mtoto wa
Shangazi angu akasema ANASIKIA HARUFU YA JINI...
Mm Nika m beza na kumshushua na Nika waambia tumpuuze.....

What happened [emoji80][emoji80] soon after akatokea mzee....tusijue ametokea wap [emoji23][emoji1787]
Akatwambia vijana mnafanya nini hapa??
Mm nikamjibu tunachuma majani ya Sungura....
AKANIULIZA MMEOMBA?
Nika mjibu majani Huwa yanajiotea sisi tuliamua kuyachuma tu ...
AKANIULIZA UNAJUA KWENYE HILI SHAMBA KUNA NINI?
Fasta
Nika recall kauli ya MTOTO wa shangazi mapigo ya moyo yakawa fasta...
Nikasema MZEE naomba utusamehe maana sisi hatukua tunajua chochote...
Mzee akasema niwasamehe nini akat wewe unasema hamna makosa..mzee akawa mkali na Mtata....
Mm Nika msisitiza atusamehe huku natetemeka...
Mzee akasema TUPENI HAYO MAJANI YOTE NA MPOTEE...
Njia ilikua uchochoro na majani mengi tulitupa na kukimbia kuto kuangalia nyuma...
Usiku hatukulala tulijua tunakufaa....all in all we are still breathing....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah! pole sana mkuu
 
Ngoja niweke play list yangu
1. Nakuitaji by crazy T
2. Aseme by Q chief
3.zeze by T.I.D
4.salome by dully
5.babu kubwa by 2000 planet
6. Mtulize by mabaga fresh
7. Mtoto wa geti kali by gangwe mob
8. Mambo ya pwani by solo thang
9. T shirt na jeans by University corner
10.blue blue by Mr blue
11. Kama by Mike T
12. Sugu by Mr II
13. Chemsha bongo by hard blaster
14. Mimi na wewe by stars Thomas
15. Fagio la chuma by fagio la chuma
17. Tambala by hard mad
18. Baby girl by madice
19. Hili game by juma nature
20. Jina langu by prof Jay
21. DJ by sister P
22.Hi Leo by Gk
23. Raha tu by AY
24. Mabint by mwana fa
25. Kama unaka dem by Jay mo
26. Rahisa by T.I.D
27.nakupenda tu by dudu baya
28. Mpenzi by Dudu baya
29.mapozi by Mr blue
30.asali wa moyo by inspector haron
31.bush party by solid ground family

Aisee nimejikuta nataka kulia maana enz hizo ukisikia Fiesta unajua naenda kupata burudani siyo kuambiwa too goo mikono juu
 
Nimekaa natafakari wasanii na muziki wetu huu wa Bongofleva ya sasa na ule wa zamani (old school).

Kiukweli nimegundua kuwa wasanii wa sikuhizi sio wabunifu ingawa utandawazi na teknolojia imekuwa kwa kiasi kikubwa. Mashairi na tungo za sikuhizi ni kama zinafanana kwa kiasi kikubwa yaani hamna ubunifu sio kwenye mashairi na tungo wala midundo ya beats. Kweli zama hazirudi na old itabaki kuwa gold.

Hivi unawakumbuka wasanii hawa na ngoma zao miaka ile?
1. Mzimuni Family ft. Q-chief- Kupiga Debe
2. Solid Ground Family- Baba Jeni
3. Manduli Mobb ft Juma Nature- Maskini Jeuri
4. Manyema Family ft Juma Nature- Jinsi Tulivyo
5. YP & Y-dash-Shemsa
6. Balozi ft Sugu-Dar dsm
7. Dully Sykes ft Sebastian Ndege-Leah
8. B-Boy ft Hardmad- Sina Demu
9.Prof Jay- Bongo dsm
10.Ocg ft Juma Nature- Akwelina
11.John Walker ft Hardmad- Sophia
12.Imam Abbas ft Juma Nature -Mitaa ya Kati (bila sanaa)
13.Daz Nundaz- Nitafanya nini (hayaishi kunigasi)
14.Armstrong & Bandago- Sikia Michano
15.Dollo ft Juma Nature -Radhia
16.Boys from the Army ft. Inspector Haroun- Siku za Hukumu za Mwisho
17.Afande Sele ft. Prof Jay & Solo Thang- Mtazamo
18.Jay Mo ft Dully Sykes- Maisha ya Boarding
19.Wagosi wa kaya- Wauguzi
20.Danny Msimamo- Siku nzuri

Ukiskiliza bongofleva za kitambo (old school) hizi nyimbo za wasanii wa siku hizi kwakweli utaona wanaimba takataka.

Enzi hizo ili usikike Maprodyuza walikuwa wawili tu, Mika Mwamba na P-funk, sio utitiri uliojaa sasahivi.

Mimi simu yangu imejaa midundo ya zamani tu, huwezi kufungua playlists katika simu yangu ukaona hawa watumia mikorogo na wabana pua.
Kama unakumbuka enzi hizo hebu tupia na wewe midundo yako ya Bongofleva (Old school) tuburudike pamoja.

Baadae ntatupia na audio (mp3) ili Kila mdau wa midundo hii akumbuke enzi
Napenda kukutaarifu kwamba hapo hakuna old school hata mmoja ,hao ni vizazi vya pili vya bongo fleva.

Nilitarajia kuona kizazi cha kwanza cha bongo fleva.
 
Kama Mr ebo hayuko huu Ni umbea
Nimekaa natafakari wasanii na muziki wetu huu wa Bongofleva ya sasa na ule wa zamani (old school).

Kiukweli nimegundua kuwa wasanii wa sikuhizi sio wabunifu ingawa utandawazi na teknolojia imekuwa kwa kiasi kikubwa. Mashairi na tungo za sikuhizi ni kama zinafanana kwa kiasi kikubwa yaani hamna ubunifu sio kwenye mashairi na tungo wala midundo ya beats. Kweli zama hazirudi na old itabaki kuwa gold.

Hivi unawakumbuka wasanii hawa na ngoma zao miaka ile?
1. Mzimuni Family ft. Q-chief- Kupiga Debe
2. Solid Ground Family- Baba Jeni
3. Manduli Mobb ft Juma Nature- Maskini Jeuri
4. Manyema Family ft Juma Nature- Jinsi Tulivyo
5. YP & Y-dash-Shemsa
6. Balozi ft Sugu-Dar dsm
7. Dully Sykes ft Sebastian Ndege-Leah
8. B-Boy ft Hardmad- Sina Demu
9.Prof Jay- Bongo dsm
10.Ocg ft Juma Nature- Akwelina
11.John Walker ft Hardmad- Sophia
12.Imam Abbas ft Juma Nature -Mitaa ya Kati (bila sanaa)
13.Daz Nundaz- Nitafanya nini (hayaishi kunigasi)
14.Armstrong & Bandago- Sikia Michano
15.Dollo ft Juma Nature -Radhia
16.Boys from the Army ft. Inspector Haroun- Siku za Hukumu za Mwisho
17.Afande Sele ft. Prof Jay & Solo Thang- Mtazamo
18.Jay Mo ft Dully Sykes- Maisha ya Boarding
19.Wagosi wa kaya- Wauguzi
20.Danny Msimamo- Siku nzuri

Ukiskiliza bongofleva za kitambo (old school) hizi nyimbo za wasanii wa siku hizi kwakweli utaona wanaimba takataka.

Enzi hizo ili usikike Maprodyuza walikuwa wawili tu, Mika Mwamba na P-funk, sio utitiri uliojaa sasahivi.

Mimi simu yangu imejaa midundo ya zamani tu, huwezi kufungua playlists katika simu yangu ukaona hawa watumia mikorogo na wabana pua.
Kama unakumbuka enzi hizo hebu tupia na wewe midundo yako ya Bongofleva (Old school) tuburudike pamoja.

Baadae ntatupia na audio (mp3) ili Kila mdau wa midundo hii akumbuke enzi
 
Ukweli lazima usemwe mkuu ,hakuna old school hapo! Yaani Temba unamwita Old school? Mtakuja kusema Diamond naye old school kisa ameanza 2009.

Mtafute Sebastian Maganga,Taji Liundi ,2 Proud ,Othman Njaidi ,Saleh jabri,Saigon watakupa historia ya bongo fleva.
Temba yupo mda mzee sema ulichelewa mjua unakumbuka manduli mob,
 
Nimekaa natafakari wasanii na muziki wetu huu wa Bongofleva ya sasa na ule wa zamani (old school).

Kiukweli nimegundua kuwa wasanii wa sikuhizi sio wabunifu ingawa utandawazi na teknolojia imekuwa kwa kiasi kikubwa. Mashairi na tungo za sikuhizi ni kama zinafanana kwa kiasi kikubwa yaani hamna ubunifu sio kwenye mashairi na tungo wala midundo ya beats. Kweli zama hazirudi na old itabaki kuwa gold.

Hivi unawakumbuka wasanii hawa na ngoma zao miaka ile?
1. Mzimuni Family ft. Q-chief- Kupiga Debe
2. Solid Ground Family- Baba Jeni
3. Manduli Mobb ft Juma Nature- Maskini Jeuri
4. Manyema Family ft Juma Nature- Jinsi Tulivyo
5. YP & Y-dash-Shemsa
6. Balozi ft Sugu-Dar dsm
7. Dully Sykes ft Sebastian Ndege-Leah
8. B-Boy ft Hardmad- Sina Demu
9.Prof Jay- Bongo dsm
10.Ocg ft Juma Nature- Akwelina
11.John Walker ft Hardmad- Sophia
12.Imam Abbas ft Juma Nature -Mitaa ya Kati (bila sanaa)
13.Daz Nundaz- Nitafanya nini (hayaishi kunigasi)
14.Armstrong & Bandago- Sikia Michano
15.Dollo ft Juma Nature -Radhia
16.Boys from the Army ft. Inspector Haroun- Siku za Hukumu za Mwisho
17.Afande Sele ft. Prof Jay & Solo Thang- Mtazamo
18.Jay Mo ft Dully Sykes- Maisha ya Boarding
19.Wagosi wa kaya- Wauguzi
20.Danny Msimamo- Siku nzuri

Ukiskiliza bongofleva za kitambo (old school) hizi nyimbo za wasanii wa siku hizi kwakweli utaona wanaimba takataka.

Enzi hizo ili usikike Maprodyuza walikuwa wawili tu, Mika Mwamba na P-funk, sio utitiri uliojaa sasahivi.

Mimi simu yangu imejaa midundo ya zamani tu, huwezi kufungua playlists katika simu yangu ukaona hawa watumia mikorogo na wabana pua.
Kama unakumbuka enzi hizo hebu tupia na wewe midundo yako ya Bongofleva (Old school) tuburudike pamoja.

Baadae ntatupia na audio (mp3) ili Kila mdau wa midundo hii akumbuke enzi
Hekaheka za dent na ticha G solo ft inspector haroun
 
Kuna Ngoma moja ya Juma Nature ilikua inaitwa "kisa demu" da bonge moja la Ngoma..

Nasikia Una siku ya tatu unanifata mi mwenzio
Kwa mapanga na marungu kisa demu!
 
Back
Top Bottom