Old School: Je, Unazikumbuka nyimbo na wasanii wa Bongofleva wa enzi hizo?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah! pole sana mkuu
 
Ngoja niweke play list yangu
1. Nakuitaji by crazy T
2. Aseme by Q chief
3.zeze by T.I.D
4.salome by dully
5.babu kubwa by 2000 planet
6. Mtulize by mabaga fresh
7. Mtoto wa geti kali by gangwe mob
8. Mambo ya pwani by solo thang
9. T shirt na jeans by University corner
10.blue blue by Mr blue
11. Kama by Mike T
12. Sugu by Mr II
13. Chemsha bongo by hard blaster
14. Mimi na wewe by stars Thomas
15. Fagio la chuma by fagio la chuma
17. Tambala by hard mad
18. Baby girl by madice
19. Hili game by juma nature
20. Jina langu by prof Jay
21. DJ by sister P
22.Hi Leo by Gk
23. Raha tu by AY
24. Mabint by mwana fa
25. Kama unaka dem by Jay mo
26. Rahisa by T.I.D
27.nakupenda tu by dudu baya
28. Mpenzi by Dudu baya
29.mapozi by Mr blue
30.asali wa moyo by inspector haron
31.bush party by solid ground family

Aisee nimejikuta nataka kulia maana enz hizo ukisikia Fiesta unajua naenda kupata burudani siyo kuambiwa too goo mikono juu
 
Napenda kukutaarifu kwamba hapo hakuna old school hata mmoja ,hao ni vizazi vya pili vya bongo fleva.

Nilitarajia kuona kizazi cha kwanza cha bongo fleva.
 
Kama Mr ebo hayuko huu Ni umbea
 
Temba yupo mda mzee sema ulichelewa mjua unakumbuka manduli mob,
 
Hekaheka za dent na ticha G solo ft inspector haroun
 
Kuna Ngoma moja ya Juma Nature ilikua inaitwa "kisa demu" da bonge moja la Ngoma..

Nasikia Una siku ya tatu unanifata mi mwenzio
Kwa mapanga na marungu kisa demu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…