Old School: Je, Unazikumbuka nyimbo na wasanii wa Bongofleva wa enzi hizo?

Chemsha Bongo ya Prof Jay na HBC sijaiona hapa!!
 
Napenda kukutaarifu kwamba hapo hakuna old school hata mmoja ,hao ni vizazi vya pili vya bongo fleva.

Nilitarajia kuona kizazi cha kwanza cha bongo fleva.
I'm very disappointed by your comment dude. Kwenye hiyo list Kuna baadhi yao ni ol' school hapo Mr.II[2 proud], Prof J[ Nigga J], na Balozi huwezi kusema sio wakitambo.
 
I'm very disappointed by your comment dude. Kwenye hiyo list Kuna baadhi yao ni ol' school hapo Mr.II[2 proud], Prof J[ Nigga J], na Balozi huwezi kusema sio wakitambo.

Mkuu Sugu ,Balozi ,Prof J siyo vizazi vya kwanza vya Bongo fleva even sugu mwenyewe aliikuta hiyo bongo fleva.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…