Ole Mushi: Watanzania tumejipangaje kuipokea Congo kwenye EAC?

Tiss iachane na ccm isaidie watanzania itapendeza lakini kuhusu Vita na migogoro yao hujasema Mana wale watu wa mwituni ushuhuda ni hao wenye akaunt bank
 
Huyu huyu Kagame Magufuri alikuwa anamtumia kuifilisi Tanzania.
 
Hili linachangiwa na Tanzania kupeleka EALA Wabunge wasio na uwezo kusaidia Taifa. Tanzania ndio the most strategic country inayoongoza kwa fursa za EAC na kufaidika na ujio wa DRC ndani ya EAC, mwaka huu ni uchaguzi wa EALA, tusirudie makosa!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…