Pre GE2025 Ole Ngurumwa: Wajumbe wa Tume ya Taifa ya uchaguzi wajiuzulu ili kupisha wajumbe wapya wa Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Source: Clouds FM Power Breakfast.

Akihojiwa asubuhi hii ya leo kupitia Clouds Fm Power Breakfast Mwanasheria Onesmo Ole Ngurumwa amesema Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi sio huru iwapo wajumbe na makamishina ni walewale.

Ameshauri wajumbe wa Tume wa zamani wajiuzulu ili kupisha wajumbe wapya wapatikane na wasimamie chaguzi 2024 na 2025.

Maoni yake hayo yameungwa mkono na Tundu Lissu na Zitto Kabwe ambao nao walikuwa wakiijadili Tume hii.
 
Source: Clouds FM Power Breakfast.
hizi ni njaa na kukubali kutumiwa na wazungu tu watanzania hawana muda na nyie sisi tutaendelea kukubaliana na hayo mbadiliko hata kama ni madogo huku tunaendelea kupambana hii ndio sera yetu sisi ACT-Wazalendo
 
Angalau hamjasema wanatumiwa na waarabu
 
Source: Clouds FM Power Breakfast.

Akihojiwa asubuhi hii ya leo kupitia Clouds Fm Power Breakfast Mwanasheria Onesmo Ole Ngurumwa amesema Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi sio huru iwapo wajumbe na makamishina ni walewale.

Ameshauri wajumbe wa Tume wa zamani wajiuzulu ili kupisha wajumbe wapya wapatikane na wasimamie chaguzi 2024 na 2025.

Maoni yake hayo yameungwa mono na Tundu Lissu na Zitto Kabwe ambao nao walikuwa wakiijadili Tume hii.
Doesn't hold water!
 
Parakatumba......abaa abaa abaa

😂😂😂😂Afrika kuna shida kubwa sana
 
Source: Clouds FM Power Breakfast.

Akihojiwa asubuhi hii ya leo kupitia Clouds Fm Power Breakfast Mwanasheria Onesmo Ole Ngurumwa amesema Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi sio huru iwapo wajumbe na makamishina ni walewale.

Ameshauri wajumbe wa Tume wa zamani wajiuzulu ili kupisha wajumbe wapya wapatikane na wasimamie chaguzi 2024 na 2025.

Maoni yake hayo yameungwa mono na Tundu Lissu na Zitto Kabwe ambao nao walikuwa wakiijadili Tume hii.
Kwanini wajiuzulu? Kwani sheria inasemaje? Yani hii ni ishara kuwa kilichobadilika ni jina tuu hakuna kipya! Maana kama sheria ingekuwa wazi au ipo wala kusingekuwa na ulazima wa kuanza kuwabembelez watu kujiuzulu…

Ukiona hawafanyi hivyo basi kuna ambacho kinawapa nguvu pengine sheria haiwataki wafanye hivyo na haipo kabisa………….!
Kwa hiyo ni wazi kabisa limebadilika jina tuu
 
Umeandika jambo kubwa sana kwa ujinga wa Wabunge wa Magufuli sijui kama walijua haya mambo.
 
Back
Top Bottom