Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Source: Clouds FM Power Breakfast.
Akihojiwa asubuhi hii ya leo kupitia Clouds Fm Power Breakfast Mwanasheria Onesmo Ole Ngurumwa amesema Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi sio huru iwapo wajumbe na makamishina ni walewale.
Ameshauri wajumbe wa Tume wa zamani wajiuzulu ili kupisha wajumbe wapya wapatikane na wasimamie chaguzi 2024 na 2025.
Maoni yake hayo yameungwa mkono na Tundu Lissu na Zitto Kabwe ambao nao walikuwa wakiijadili Tume hii.