Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
hizi ni njaa na kukubali kutumiwa na wazungu tu watanzania hawana muda na nyie sisi tutaendelea kukubaliana na hayo mbadiliko hata kama ni madogo huku tunaendelea kupambana hii ndio sera yetu sisi ACT-WazalendoSource: Clouds FM Power Breakfast.
Angalau hamjasema wanatumiwa na waarabuhizi ni njaa na kukubali kutumiwa na wazungu tu watanzania hawana muda na nyie sisi tutaendelea kukubaliana na hayo mbadiliko hata kama ni madogo huku tunaendelea kupambana hii ndio sera yetu sisi ACT-Wazalendo
Angalau hamjasema wanatumiwa na waarabu
Hawa watu ni wa ajabu sana1Angalau hamjasema wanatumiwa na waarabu
Doesn't hold water!Source: Clouds FM Power Breakfast.
Akihojiwa asubuhi hii ya leo kupitia Clouds Fm Power Breakfast Mwanasheria Onesmo Ole Ngurumwa amesema Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi sio huru iwapo wajumbe na makamishina ni walewale.
Ameshauri wajumbe wa Tume wa zamani wajiuzulu ili kupisha wajumbe wapya wapatikane na wasimamie chaguzi 2024 na 2025.
Maoni yake hayo yameungwa mono na Tundu Lissu na Zitto Kabwe ambao nao walikuwa wakiijadili Tume hii.
Parakatumba......abaa abaa abaaSource: Clouds FM Power Breakfast.
Akihojiwa asubuhi hii ya leo kupitia Clouds Fm Power Breakfast Mwanasheria Onesmo Ole Ngurumwa amesema Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi sio huru iwapo wajumbe na makamishina ni walewale.
Ameshauri wajumbe wa Tume wa zamani wajiuzulu ili kupisha wajumbe wapya wapatikane na wasimamie chaguzi 2024 na 2025.
Maoni yake hayo yameungwa mono na Tundu Lissu na Zitto Kabwe ambao nao walikuwa wakiijadili Tume hii.
Kwanini wajiuzulu? Kwani sheria inasemaje? Yani hii ni ishara kuwa kilichobadilika ni jina tuu hakuna kipya! Maana kama sheria ingekuwa wazi au ipo wala kusingekuwa na ulazima wa kuanza kuwabembelez watu kujiuzulu…Source: Clouds FM Power Breakfast.
Akihojiwa asubuhi hii ya leo kupitia Clouds Fm Power Breakfast Mwanasheria Onesmo Ole Ngurumwa amesema Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi sio huru iwapo wajumbe na makamishina ni walewale.
Ameshauri wajumbe wa Tume wa zamani wajiuzulu ili kupisha wajumbe wapya wapatikane na wasimamie chaguzi 2024 na 2025.
Maoni yake hayo yameungwa mono na Tundu Lissu na Zitto Kabwe ambao nao walikuwa wakiijadili Tume hii.
Sijasali ndugu, umenikumbusha kusali. Vita ni dhidi yangu mimi?SAWA LAKINI JE UMESALI KABLA YA KUSHIKA SIMU YAKO ASUBUHI HII MAANA VITA NI KALI
Umeandika jambo kubwa sana kwa ujinga wa Wabunge wa Magufuli sijui kama walijua haya mambo.Kwanini wajiuzulu? Kwani sheria inasemaje? Yani hii ni ishara kuwa kilichobadilika ni jina tuu hakuna kipya! Maana kama sheria ingekuwa wazi au ipo wala kusingekuwa na ulazima wa kuanza kuwabembelez watu kujiuzulu…
Ukiona hawafanyi hivyo basi kuna ambacho kinawapa nguvu pengine sheria haiwataki wafanye hivyo na haipo kabisa………….!
Kwa hiyo ni wazi kabisa limebadilika jina tuu