johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Zanzibar Ngorongororo imeingiaje? Kazi iendelee.
Juzi alichukua form ya kugombea ubunge kupitia CCM hana jipyaOle wao hao akina Ole.
Ajili ya bibi ushingiZanzibar Ngorongororo imeingiaje? Kazi iendelee.
Wakiondoka wewe utanufaika na nini na sasa unapata hasara gani wakiwepo?kikubwa ni lazima waondoke kwenye eneo la hifadhi
Kwasababu siyo nchi πππ in Pinda's voice......Kwa Ngorongoro nikama kata tu π π π akondingi to himZanzibar Ngorongororo imeingiaje? Kazi iendelee.
Sasa unadhani tunang'ang'ania bila maslahi. Maslahi ya Wamaasai pale Ngorongoro sio ya kuficha na hakuna anayeficha. Anayetaka Wamaasai waondolewe Ngorongoro ndio mwenye maslahi yaliyojificha.Pia Ole akumbuke kuwa kuna maeneo makubwa nje ya hifadhi na nje ya mkoa wa Arusha ambayo hayana watu Wala wanyama. Kwa Nini anakariri Ngorongoro Kuna maslahi gani?
Wakiondoka Taifa la Tanzania litafaidika kwa sababu wanyama wataendelea kuwepo na kuongezeka hivyo kuhakikisha nchi kuendelea kupata mapato makubwa kupitia utalii. wakibaki wataendelea kuongezeka na kupelekea wanyama kukimbilia kwenu Kenya hivyo Tanzania itakosa mapato ya utalii ambayo ndo sekta inayochangia kuzidi sekta zone kwenye pato la taifaWakiondoka wewe utanufaika na nini na sasa unapata hasara gani wakiwepo?
We mpuuzi haya mapato yanakunufaisha na nini? Akina Kigwangala walikuwa wanatumia pesa kwenda kula raha na mademu Ulaya, baada ya miaka 20 hakuna mtu atatoka Ulaya kuja kuangalia fisi watu wanahama huko utalii sasahivi ni wa sayari ya Mars watu wanaenda huko na siyo kuja kuona fisi anakimbiza nyumbu.Wakiondoka Taifa la Tanzania litafaidika kwa sababu wanyama wataendelea kuwepo na kuongezeka hivyo kuhakikisha nchi kuendelea kupata mapato makubwa kupitia utalii. wakibaki wataendelea kuongezeka na kupelekea wanyama kukimbilia kwenu Kenya hivyo Tanzania itakosa mapato ya utalii ambayo ndo sekta inayochangia kuzidi sekta zone kwenye pato la taifa