Ole Ngurumwa: Wilaya ya Ngorongoro ni kubwa sana; nchi ya Zanzibar inaingia mara 7 na DSM inaingia mara 10. Wamasai waachwe wilayani humo

Watolewe haraka maeneo ya hifadhi, kwani wamasai ni wanyama? Tena serikali itumie nguvu kuwatoa, sbb wamasai wabishi na wagumu sana kuelewa, ila ukitumia viboko na askari wanaelewa haraka sana na watatii sheria, ila kwa kuongea tu, hawatasikia milele.

Wamasai wana kiburi na kujifanya hawasaikii kabisa, watolewe kwa nguvu, ila wapewe muda hata miezi 2 wawe wametoka kwa hiari yao, baada ya siku 60, nguvu na viboko vitumike.
 
Moja: Hivi kwani kuna mawakili ambao sio wasomi? Kwa nini huyu apewe title msomi?
Mbili: Hivi kuna uhusiano gani baina ya ngorongoro na nchi ya zanzibar au mji wa dar es salaam?
Tatu: Hivi ni mimi tu ambae nimeshindwa kuona anachosema huyu anaeitwa msomi? Sasa kama Zanzibar
inaingia mara 7 ndio iwe nini?
Ulilala mwaka gani ndio ukaamka leo?
 
Huyu Olenguru
Mwanaharakati na Wakili msomi Ole Nguruma amesema hata kama itakuwa ni lazima kuwahamisha wamasai kutoka hifadhini basi wasipelekwe nje ya wilaya ya Ngorongoro.

Ole Nguruma amesema Ngorongoro ina eneo la mita za mraba za kutosha kabisa kuishi wamasai wote kwani nchi ya Zanzibar inaingia mara 7 ndani ya wilaya hiyo kadhalika mkoa wa Dar es salaam unaingia mara 10

Chanzo: Star TV!
Huyu Olenguruma alikuwa anamponda sana JPM leo hii analeta ngonjera hapa wamasai wafukuzwe tu!
 
Pia Ole akumbuke kuwa kuna maeneo makubwa nje ya hifadhi na nje ya mkoa wa Arusha ambayo hayana watu Wala wanyama. Kwa Nini anakariri Ngorongoro, kuna maslahi gani?
Unataka Wafugaji waamie Bagamoyo alafu wauwawe na wenyeji bibi zako.
 
Moja: Hivi kwani kuna mawakili ambao sio wasomi? Kwa nini huyu apewe title msomi?
Mbili: Hivi kuna uhusiano gani baina ya ngorongoro na nchi ya zanzibar au mji wa dar es salaam?
Tatu: Hivi ni mimi tu ambae nimeshindwa kuona anachosema huyu anaeitwa msomi? Sasa kama Zanzibar
inaingia mara 7 ndio iwe nini?
Anaamanisha Zanzibar walikula Wanyama wote. Wamasai wakatunza. Kama vipi chukueni Simba mkaoteshe Zanzibar
 
Hata ingekuwa na ukubwa wa Morogoro kwa nini mng'ang'ane huko?...Mbona mpo Kenya, Arusha,Tanga, Morogoro aliyewaambia ni lazima kukaa Ngorongoro ni nani?.
Kama una uelewa mdogo wa "issues" kaaa kimya na waachie wengine.
 
We mpuuzi haya mapato yanakunufaisha na nini? Akina Kigwangala walikuwa wanatumia pesa kwenda kula raha na mademu Ulaya, baada ya miaka 20 hakuna mtu atatoka Ulaya kuja kuangalia fisi watu wanahama huko utalii sasahivi ni wa sayari ya Mars watu wanaenda huko na siyo kuja kuona fisi anakimbiza nyumbu.
Punguza ujinga basi yeroo.unapayuka tu hata haueleweki.unatoa hoja zakipunguani.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Pia Ole akumbuke kuwa kuna maeneo makubwa nje ya hifadhi na nje ya mkoa wa Arusha ambayo hayana watu Wala wanyama. Kwa Nini anakariri Ngorongoro, kuna maslahi gani?
Na mamilioni ya wamasai tunaishi nao huku. Au anataka wamasai wote wafukuzwe kooooteeee warudi huko
 
Watolewe haraka maeneo ya hifadhi, kwani wamasai ni wanyama? Tena serikali itumie nguvu kuwatoa, sbb wamasai wabishi na wagumu sana kuelewa, ila ukitumia viboko na askari wanaelewa haraka sana na watatii sheria, ila kwa kuongea tu, hawatasikia milele.

Wamasai wana kiburi na kujifanya hawasaikii kabisa, watolewe kwa nguvu, ila wapewe muda hata miezi 2 wawe wametoka kwa hiari yao, baada ya siku 60, nguvu na viboko vitumike.
Hawatatolewa maana kule ni kwao hawajavamia........tena wengi wao walihamishiwa hapo Ngorongoro mwaka 1959 na serikali ya kikoloni baada ya kuondolewa kutoka Serengeti.

Tambua pia kabla hata hili taifa halijapata uhuru, wamasai wamekua wahifadhi wazuri sana wa Ngorongoro na mpaka Sasa bado ni wahifadhi wazuri.

Sababu za kuwatoa kwa nguvu mnazozipigia debe hazina mashiko......
 
We mpuuzi haya mapato yanakunufaisha na nini? Akina Kigwangala walikuwa wanatumia pesa kwenda kula raha na mademu Ulaya, baada ya miaka 20 hakuna mtu atatoka Ulaya kuja kuangalia fisi watu wanahama huko utalii sasahivi ni wa sayari ya Mars watu wanaenda huko na siyo kuja kuona fisi anakimbiza nyumbu.
Kwa hiyo kama hakutakuwa na mtu wa kuwaona hao fisi na wanyamapori wengine ndo wasihifadhiwe ili waendelee kutoweka na kukimbia kutokana na idadi yenu kuwa kubwa?
 
Hawatatolewa maana kule ni kwao hawajavamia........tena wengi wao walihamishiwa hapo Ngorongoro mwaka 1959 na serikali ya kikoloni baada ya kuondolewa kutoka Serengeti.

Tambua pia kabla hata hili taifa halijapata uhuru, wamasai wamekua wahifadhi wazuri sana wa Ngorongoro na mpaka Sasa bado ni wahifadhi wazuri.

Sababu za kuwatoa kwa nguvu mnazozipigia debe hazina mashiko......

Masai wa leo sio wale wa 1947, wengi ndio wawindaji na wanashirikiana na poachers kufanya uwindaji haramu, kama hujui uliza vizuri, wamasai wengi wamekuwa wajanja sana na wanawinda usiku usiku.

Pia wamasai wengi wameitana Ngorongoro na kuzaana na idadi inayotakiwa isizidi watu 8,000 imepitiliza sana na mifungo iko laki 8 plus..

Ngorongoro itakufa kabisa bila kuwatoa hawa wamasai kwa nguvu, dawa ni kuwapa elimu wajue madhara yao wakikataa kuelewa ni kuwatoa kwa nguvu.
 
Mwanaharakati na Wakili msomi Ole Nguruma amesema hata kama itakuwa ni lazima kuwahamisha wamasai kutoka hifadhini basi wasipelekwe nje ya wilaya ya Ngorongoro.

Ole Nguruma amesema Ngorongoro ina eneo la mita za mraba za kutosha kabisa kuishi wamasai wote kwani nchi ya Zanzibar inaingia mara 7 ndani ya wilaya hiyo kadhalika mkoa wa Dar es salaam unaingia mara 10

Chanzo: Star TV!

Ole Ngurumwa alisomweshwa sheria na walio na mifugo huko ngorongoro ili baadaye aje aweze kuwatetea wamasai wasihamishwe . Ukumbuke pia kuna hotel kubwa inakuja kujengwa ngorongoro​

Back
Top Bottom