Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Hayo maneno kawaambie wenzako Kenya mnaotaka Ngorongoro ife ili Tanzania ife kiutalii na ifaidike nchi yako KenyaWe mpuuzi haya mapato yanakunufaisha na nini? Akina Kigwangala walikuwa wanatumia pesa kwenda kula raha na mademu Ulaya, baada ya miaka 20 hakuna mtu atatoka Ulaya kuja kuangalia fisi watu wanahama huko utalii sasahivi ni wa sayari ya Mars watu wanaenda huko na siyo kuja kuona fisi anakimbiza nyumbu.
Mpuuzi wewe badili utabaki na fisi wako huku watu wapo sayari nyingine kabisaHayo maneno kawaambie wenzako Kenya mnaotaka Ngorongoro ife ili Tanzania ife kiutalii na ifaidike nchi yako Kenya
Hayo maneno kawaambie serikali yako ya KenyaMpuuzi wewe badili utabaki na fisi wako huku watu wapo sayari nyingine kabisa
Mwaka huu ndio mtajua 'yule muzenji' ndio king,emperor, president wa Tanganyika. Kazi iendelee. Hatimaye twalaa kivulini.Ili yule "mzenji" ajue. 🤣
Hawataki waondoke wilaya ya Ngorongoro. Watoke ndani ya hifadhi wawaachie wanyama wajitanue kwa nafasi. Wana siasa washaanza longolongo zao kama kawaida. Nakujiita wasomi juuMwanaharakati na Wakili msomi Ole Nguruma amesema hata kama itakuwa ni lazima kuwahamisha wamasai kutoka hifadhini basi wasipelekwe nje ya wilaya ya Ngorongoro.
Ole Nguruma amesema Ngirongoro ina eneo la mita za mraba za kutosha kabisa kuishi wamasai wote kwani nchi ya Zanzibar inaingia mara 7 ndani ya wilaya hiyo kadhalika mkoa wa Dar es salaam unaingia mara 10
Source: Star tv!
Tuna maslahi nayo. Wamasai wa Ngorongoro tumezoea hali ya hewa ya Ngorongoro. Hali ya hewa ya Moro, Chalinze, Tanga ni tofauti sana na ya hali ya hewa ya Ngorongoro.Hata ingekuwa na ukubwa wa Morogoro kwa nini mng'ang'ane huko?...mbona mpo Kenya, Arusha,Tanga, Morogoro aliyewaambia ni lazima kukaa Ngorongoro ni nani?.
Sendeka ni mchaga yule alihamia tu Simanjiro!Ole Sendeka anasemaje kuhusu kadhia hii?
Huyo ni mwanaCCM alichukua form ya kugombea ubunge Jimbo la Serengeti kupitia CCM usifananishe CHADEMA na huyo mfugo.Huyu hana tofauti na ACT wazalendo, alikuwa wapi kusema mapema mpaka jana PM alipotoa msimamo wa serikali na yeye ndiyo anaamka leo? hongereni CHADEMA mpo mbele ya wakati sn
OkeyHuyo ni mwanaCCM alichukua form ya kugombea ubunge Jimbo la Serengeti kupitia CCM usifananishe CHADEMA na huyo mfugo.
Hakuna mchaga famba kama huyo mpuuziSendeka ni mchaga yule alihamia tu Simanjiro!
Sendeka na Lema wanatoka kijiji kimoja!Hakuna mchaga famba kama huyo mpuuzi
Eni jioo marupurupu! huwezi amini kuna Mpaka ya utafiti wa inziPia Ole akumbuke kuwa kuna maeneo makubwa nje ya hifadhi na nje ya mkoa wa Arusha ambayo hayana watu Wala wanyama. Kwa Nini anakariri Ngorongoro, kuna maslahi gani?
Wakupime haja ndogoSendeka na Lema wanatoka kijiji kimoja!
Mwanaharakati na Wakili msomi Ole Nguruma amesema hata kama itakuwa ni lazima kuwahamisha wamasai kutoka hifadhini basi wasipelekwe nje ya wilaya ya Ngorongoro.
Ole Nguruma amesema Ngorongoro ina eneo la mita za mraba za kutosha kabisa kuishi wamasai wote kwani nchi ya Zanzibar inaingia mara 7 ndani ya wilaya hiyo kadhalika mkoa wa Dar es salaam unaingia mara 10
Chanzo: Star TV!
Wliya ni Loliondo na sio NgorongoroMwanaharakati na Wakili msomi Ole Nguruma amesema hata kama itakuwa ni lazima kuwahamisha wamasai kutoka hifadhini basi wasipelekwe nje ya wilaya ya Ngorongoro.
Ole Nguruma amesema Ngorongoro ina eneo la mita za mraba za kutosha kabisa kuishi wamasai wote kwani nchi ya Zanzibar inaingia mara 7 ndani ya wilaya hiyo kadhalika mkoa wa Dar es salaam unaingia mara 10
Chanzo: Star TV!
Are you serious? Umeshindwa hata kuingia Website ya Tamisemi kuangalia wilaya za mkoa wa Arusha?Wliya ni Loliondo na sio Ngorongoro