Ulilala mwaka gani ndio ukaamka leo?Moja: Hivi kwani kuna mawakili ambao sio wasomi? Kwa nini huyu apewe title msomi?
Mbili: Hivi kuna uhusiano gani baina ya ngorongoro na nchi ya zanzibar au mji wa dar es salaam?
Tatu: Hivi ni mimi tu ambae nimeshindwa kuona anachosema huyu anaeitwa msomi? Sasa kama Zanzibar
inaingia mara 7 ndio iwe nini?
Huyu Olenguruma alikuwa anamponda sana JPM leo hii analeta ngonjera hapa wamasai wafukuzwe tu!Mwanaharakati na Wakili msomi Ole Nguruma amesema hata kama itakuwa ni lazima kuwahamisha wamasai kutoka hifadhini basi wasipelekwe nje ya wilaya ya Ngorongoro.
Ole Nguruma amesema Ngorongoro ina eneo la mita za mraba za kutosha kabisa kuishi wamasai wote kwani nchi ya Zanzibar inaingia mara 7 ndani ya wilaya hiyo kadhalika mkoa wa Dar es salaam unaingia mara 10
Chanzo: Star TV!
Hivi huyu si alionesha nia ya kugombea ubunge ?Huyu hana tofauti na ACT wazalendo, alikuwa wapi kusema mapema mpaka jana PM alipotoa msimamo wa serikali na yeye ndiyo anaamka leo? Hongereni CHADEMA mpo mbele ya wakati sana.
Unataka Wafugaji waamie Bagamoyo alafu wauwawe na wenyeji bibi zako.Pia Ole akumbuke kuwa kuna maeneo makubwa nje ya hifadhi na nje ya mkoa wa Arusha ambayo hayana watu Wala wanyama. Kwa Nini anakariri Ngorongoro, kuna maslahi gani?
Jinga ww kama Kitenge. Wilaya ni Ngorongoro. Loliondo ni Tarafa tuWliya ni Loliondo na sio Ngorongoro
Anaamanisha Zanzibar walikula Wanyama wote. Wamasai wakatunza. Kama vipi chukueni Simba mkaoteshe ZanzibarMoja: Hivi kwani kuna mawakili ambao sio wasomi? Kwa nini huyu apewe title msomi?
Mbili: Hivi kuna uhusiano gani baina ya ngorongoro na nchi ya zanzibar au mji wa dar es salaam?
Tatu: Hivi ni mimi tu ambae nimeshindwa kuona anachosema huyu anaeitwa msomi? Sasa kama Zanzibar
inaingia mara 7 ndio iwe nini?
Kama una uelewa mdogo wa "issues" kaaa kimya na waachie wengine.Hata ingekuwa na ukubwa wa Morogoro kwa nini mng'ang'ane huko?...Mbona mpo Kenya, Arusha,Tanga, Morogoro aliyewaambia ni lazima kukaa Ngorongoro ni nani?.
Ni kada mtiifuHivi huyu si alionesha nia ya kugombea ubunge ?
what is your point?Ulilala mwaka gani ndio ukaamka leo?
Punguza ujinga basi yeroo.unapayuka tu hata haueleweki.unatoa hoja zakipunguani.We mpuuzi haya mapato yanakunufaisha na nini? Akina Kigwangala walikuwa wanatumia pesa kwenda kula raha na mademu Ulaya, baada ya miaka 20 hakuna mtu atatoka Ulaya kuja kuangalia fisi watu wanahama huko utalii sasahivi ni wa sayari ya Mars watu wanaenda huko na siyo kuja kuona fisi anakimbiza nyumbu.
Na mamilioni ya wamasai tunaishi nao huku. Au anataka wamasai wote wafukuzwe kooooteeee warudi hukoPia Ole akumbuke kuwa kuna maeneo makubwa nje ya hifadhi na nje ya mkoa wa Arusha ambayo hayana watu Wala wanyama. Kwa Nini anakariri Ngorongoro, kuna maslahi gani?
Hakuna mchaga mjinga kma yule,mwanaccm kindakindaki toka simanjiroSendeka ni mchaga yule alihamia tu Simanjiro!
Sister angu acha ukorofiPunguza ujinga basi yeroo.unapayuka tu hata haueleweki.unatoa hoja zakipunguani.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hawatatolewa maana kule ni kwao hawajavamia........tena wengi wao walihamishiwa hapo Ngorongoro mwaka 1959 na serikali ya kikoloni baada ya kuondolewa kutoka Serengeti.Watolewe haraka maeneo ya hifadhi, kwani wamasai ni wanyama? Tena serikali itumie nguvu kuwatoa, sbb wamasai wabishi na wagumu sana kuelewa, ila ukitumia viboko na askari wanaelewa haraka sana na watatii sheria, ila kwa kuongea tu, hawatasikia milele.
Wamasai wana kiburi na kujifanya hawasaikii kabisa, watolewe kwa nguvu, ila wapewe muda hata miezi 2 wawe wametoka kwa hiari yao, baada ya siku 60, nguvu na viboko vitumike.
Kwa hiyo kama hakutakuwa na mtu wa kuwaona hao fisi na wanyamapori wengine ndo wasihifadhiwe ili waendelee kutoweka na kukimbia kutokana na idadi yenu kuwa kubwa?We mpuuzi haya mapato yanakunufaisha na nini? Akina Kigwangala walikuwa wanatumia pesa kwenda kula raha na mademu Ulaya, baada ya miaka 20 hakuna mtu atatoka Ulaya kuja kuangalia fisi watu wanahama huko utalii sasahivi ni wa sayari ya Mars watu wanaenda huko na siyo kuja kuona fisi anakimbiza nyumbu.
Hawatatolewa maana kule ni kwao hawajavamia........tena wengi wao walihamishiwa hapo Ngorongoro mwaka 1959 na serikali ya kikoloni baada ya kuondolewa kutoka Serengeti.
Tambua pia kabla hata hili taifa halijapata uhuru, wamasai wamekua wahifadhi wazuri sana wa Ngorongoro na mpaka Sasa bado ni wahifadhi wazuri.
Sababu za kuwatoa kwa nguvu mnazozipigia debe hazina mashiko......
Mwanaharakati na Wakili msomi Ole Nguruma amesema hata kama itakuwa ni lazima kuwahamisha wamasai kutoka hifadhini basi wasipelekwe nje ya wilaya ya Ngorongoro.
Ole Nguruma amesema Ngorongoro ina eneo la mita za mraba za kutosha kabisa kuishi wamasai wote kwani nchi ya Zanzibar inaingia mara 7 ndani ya wilaya hiyo kadhalika mkoa wa Dar es salaam unaingia mara 10
Chanzo: Star TV!