Ole Sabaya adaiwa kumshambulia Diwani wa Sombetini Arusha

Ni vile wa tz n sheep.But huyo jamaa ilitakiwa zitumike alternative way kuondoa udharimu wake mapema.
 
Ni wakati wa haki sasa akina Ole Ndugai nao wajiandae.
 
Huyu dogo huyu,inabidi aozee jera,
Harafu Yule mtangazaji wa clouds Sam sasari na tumbo lake kubwa kama pipa,anampa mtu kama huyu nafasi ya kuongea kwenye chombo Cha habari,habari yenyewe haikubalance maana hakukuwa na upande wa pili.
Clouds wameaibisha kabisa kama huyu Kija na Sam tumbo tumbo ndio sura ya clouds,
 
Hiki kizee cha chattle ni nani alikipa nchi?
 
Mmepata pa kudekea sasa!!?
mnadeka....
Ndugu,
Hivi kutetea haki ni kudeka?
Roho yako yataka mnyanyasaji aogopwe na kushangiliwa?
Shetani kweli kakufikisha pabaya ewe MASALIA.
Kama si mkono wa Mungu 17/Mar, sijui tungekuwa tumefikia wapi mpaka mwezi huu.
 
Hii ni hatari kama ni kweli,inabidi wanaopewa madaraka wapimwe akili,tusije kuwapa hamnazo.
 
Madaraka yana mwisho kama nguo!
 
Huyu jambazi tayari, bado like lingine Daud Albert Bashite,
Wewe mbingunikwetu hatujasahau ujambazi wako kipindi ukiwa Rc pale Dar es Laam, tutakusagia kunguni mpaka uliwe kichwa
 
Mateso ya Sabaya hakika ni mengi na sijui kama ana pa kuchomokea, labda aamue kujiua mwenyewe.
Ingefaa ili kumlinda asijizuru basi ahifadhiwe kunakohusika
 
Yaani hadi RC anaelezwa mpaka analia kwa uchungu? Huyu kijana aliharibiwa sana na Magufuli kwa kumlinda kisa tuu amkomeshe Mbowe.
Mbowe alikuwa na kosa gani hadi Rais awe na chuki binafsi namna hiyo?
Kosa la Mbowe ni kukataa kumsujudia Magufuli
 
Kama huyu alikua kijakazi ana matukio haya vipi boss wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…