Sabaya ana tuhuma mbalimbali (lukuki) kama taarifa ya Ikulu ilivyoeleza. Anatuhumiwa kupora, kunyanyasa na kutumia madaraka yake vibaya. Tuhuma hizi zimekuwepo tangu enzi za mwendazake lakini amekua akilindwa
Sabaya alikuwa ni DC wa wilaya ya Hai , alikuwa hana malaka yeyote kwenye wilaya ya Arusha!! Ilikuwaje alienda kuwakamata watu Arusha ambako haikuwa himaya yake?
Mamako Ana vifuu vya Nazi kwa nyuma? Au hukuzaliwa na mama? Kuwa na hekima buda mama wa wengine waheshimu Kama unavyomheahimu mamako labda useme kuwa humheshimu mamako!